Search results

  1. Degelingi_One

    Annual Increment

    Wataalamu na wenye uelewa kidogo wa hili suala. Hili ongezeko huwa linakuwaje 1. Ni asilimia ngapi!?? 2. FlatRate kwa watumishi wote!?? 3. Kulingana na madaraja ya watumishi!?? 4. Au atakavyoamua Rais!?? Nawasilisha
  2. Degelingi_One

    PIKIPIKI: Bajaj Boxer 150 vs TVS 150

    Wasalaam wakuu humu ndani, Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki. Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa. Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake. Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
  3. Degelingi_One

    Ufugaji wa Nguruwe

    Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
  4. Degelingi_One

    Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

    Habari wakuu humu ndani. Mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo Dodoma kikazi. Nina nyumba yangu mkoani Iringa. Baba alishawahi kuchukulia mkopo katika bank ya NMB. Leo wakati natoka kazini nimepigiwa simu na mpangaji wangu kuwa nmb wamefika nyumbani na kuchora tangazo "Nyumba inauzwa"...
  5. Degelingi_One

    Harmonize: A request of a boss is an order

    Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM". Atakuwa mwenyekiti wa timu...
  6. Degelingi_One

    Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari za wakati huu wakuu, Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na...
  7. Degelingi_One

    Nataka ninunue smartphone

    Hivi kati ya tecno na Samsung ipi nzuri!!?
Back
Top Bottom