Search results

  1. Gini

    Kifaa gani kinatumika kurusha matangazo mubashara?

    Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
  2. Gini

    Mikutano ya hadhara na Maandamano ni haki ya msingi ya Vyama Vya siasa kwa mujibu wa Sheria

    MIKUTANO YA HADHARA Na George Sylvester Wambura, Mikutano ya hadhara na Maandamano ni haki ya msingi ya Vyama Vya siasa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa sura ya 258. Ukisoma kwenye haki za vyama vya siasa utaona haki zilizoainishwa katika Sheria hiyo ni pamoja na, 1. (e) Kila Chama cha...
  3. Gini

    Mahitaji kufungua ofisi ya dry cleaner

    Habari wana Jamvi. Natumai mu wazima. Lengo la uzi huu ni kuomba kujua kwa mwenye uzoefu juu ya Biashara ya Ufuaji nguo na upigaji pasi (Laundry & Dry Cleaning Business). Ukiwa katika Jiji la Dar es Salaam kwa mfano, unahitaji vifaa vya namna gani na mtaji wa shilingi ngapi za Kitanzania ili...
  4. Gini

    Betri Original ya Tecno C9

    Habari wana jamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye hitaji la uandishi huu wa uzi. Naomba kuuliza wapi hasa kwa Dar es Salaam (panaweza kuwa Kariakoo) au sehemu nyingine naweza kupata betri Orijino ya simu ya Tecno Camon 9 (C9). Nimebadilisha betri mwaka jana mwezi wa 9 lakini kwa sasa naona...
  5. Gini

    Je, kila mtu anaruhusiwa kutumia Nembo ya Taifa?

    Joyce Kiria siku kadhaa zilizopita alitoka hadharani na kuomba wananchi wamchangie kiasi cha Tshs Milioni 5 ili aweze kulipa faini kwa kosa la kumiliki TV ya mtandaoni Online TV (Youtube Channel) bila kuisajiri. Alionekana katika video akisema kuwa maudhui ya Televisheni yake ni ya kijamii na...
  6. Gini

    Biashara: Milioni 10 inatosha kuanzisha biashara gani kwa Dar?

    Habari wakuu. Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M. Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha, anaishi Jijini Dar es Salaam, anataka kuiingiza katika mzunguko wa biashara lakini hajui ni biashara...
  7. Gini

    Vitu Mwanamke (Mke) anahitaji

    Ndoa ni sunna na inatakiwa kuwa handled kwa namna ya kipekee mno. Naongelea Ndoa na si Mahusiano. Mke katika safari yake ya Ndoa anahitaji vitu kadhaa ambavyo ni muhimu zaidi kwake, nitavitaja vichache (i): Kushirikishwa, (ii): Kusikilizwa. (iii): Heshima Ni muhimu kuachana na mambo kadhaa...
  8. Gini

    Ume date na w/ke au w/ume wangapi?

    Hello JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mpaka umri ulionao umefanikiwa kutoka kimapenzi (sex) na Wanawake/Wanaume wangapi? Funguka
  9. Gini

    TTCL mnakula sana MBs

    Nimekuwa mtumiaji wa TTCL kwa muda sasa, mbali na kuwa na changamoto za mtandao ambao kimsingi mi kero lakini imeibuka changamoto nyingine ya kula MBs. Unajiunga na kifurushi na kupewa MBs 500 lakini namna zinaenda unabaki unashangaa. Na hapo unakuwa umetumia twitter kusoma tu posts, umeingia...
  10. Gini

    Never loose a golden chance

    Kuna Wanawake wanakuja katika kaisha yetu wenye kujitambua, wenye fikra za kimaisha, positive minded, wavumilivu, wastahimilivu, watulivu wa tabia na wazuri wa muonekano lakini kwa ujinga wetu tunawapuuza na kukimbilia viwatu watu ambavyo ni hopeless, horrible, tamaa nyingi, they are as...
  11. Gini

    Dear ladies, be you...

    Ni rahisi sana kama wanawake wataelwaa nini cha kufanya na kutofanya katika ndoa. Soma hapa.
  12. Gini

    Signal za simu yangu ziko chini, line 1 inayumba

    Habari wana Jamvi. 1: Signal za simu yangu sijui niseme ziko chini au lah, ila kila mtandao ninaotumia katika internet mtandao unashika kwa shida sana. 2: Niki set data kwa line fulani, tuseme data ni set TTCl basi line ya Tigo itakuwa sekunde 30 inasoma mtandao na mara nyingi haitakuwa hewani...
  13. Gini

    BA.Ed anaweza kusoma course gani?

    Habari wana jamvi. Mtu mwenye shahada ya Elimu (BA.Ed) akitaka kusoma course ya shahada anaweza kusoma course ipi nyingine kwa kutumia vigezo vya shahada ya Elimu. Msaada
  14. Gini

    Baba Jonii, Bangi na Hasira

    BANGI NA HASIRA ZA BABA JONII (Mchomvu). Na Mwl George Sylvester Wambura. +255716109169/+255755057229. Eyooo Mchomvuuuuu wape mashavu wana wape mashavu. Moja ya jingle nimekuwa wakati huo nikisizikia kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha mchana cha XXL, wakiwa watangazaji watatu ndani ya mjengo...
  15. Gini

    Kashfa ya Rushwa inayomkabili Mgombea Udiwani Frank Mang'ati

    *BARUA YA WAZI KWA KATIBU MKUU CCM, Dkt Bashiru Ally.* Katibu Mkuu, Chama Cha Mapinduzi , S.L.P 50, Dodoma. 21.07.2020. Ndugu Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi (Ccm) Dkt, Bashiru Ally. *YAH: KASHFA YA RUSHWA INAYOMKABILI MGOMBEA U-DIWANI FRANK MANG'ATI KATA YA PUGU WILAYA YA ILALA.* Husika na...
  16. Gini

    Asanteni Kops & Kopites kwa sherehe ya Liverpool

    Ni chukue fursa hii kuwashukuru sana Mashabiki wa Liverpool kwa kushiriki sherehe ya Ubingwa iliyofanyika Mercury Park Magomeni.
  17. Gini

    Sherehe ya Ubingwa (Liverpool) Mercury Park Magomeni

    Ile Party ya Ubingwa si mdo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia...
  18. Gini

    TVE, mmekonga nyoyo za watazamaji

    TVE, mmekonga nyoyo za watazamaji! Na Mwl Sylvester, George Wambura Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr +255716109169 georgesylvester35@yahoo.com Tukiwa bado katika sekeseke la ugonjwa wa homa kali ya mapafu yaani Covid-19 (Coronavirus) huku shughuli karibia nyingi zikisimama katika...
  19. Gini

    Wasafi: Media House iliyokosa ubunifu yakinifu

    Wasafi, Media House iliyokosa ubunifu yakinifu! Na Mwl Sylvester, George Wambura Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr +255716109169 georgesylvester35@yahoo.com Ukiiongelea Wafasi Media hukosi kumfikiria Diamond Platinumz ambaye kimsingi ndiye ameibeba clue yote ya wasafi. Bila shaka ni...
  20. Gini

    East Africa Radio, mnakwama wapi?

    East Africa Radio Tatizo ni nini, mnakwama wapi? Na Mwl Sylvester, George Wambura (PG) East Africa Radio, ikiwa ni miongoni mwa stesheni ya Radio iliyopata kuwa na watangazaji wenye vipaji pamoja na DJs wakali sana na kujizolea umaarufu na kusikilizwa sana na vijana pamoja na wasikilizaji wa...
Back
Top Bottom