Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 399
- 386
Kuna Wanawake wanakuja katika kaisha yetu wenye kujitambua, wenye fikra za kimaisha, positive minded, wavumilivu, wastahimilivu, watulivu wa tabia na wazuri wa muonekano lakini kwa ujinga wetu tunawapuuza na kukimbilia viwatu watu ambavyo ni hopeless, horrible, tamaa nyingi, they are as trippers, easy going. Na Mungu anavyojua kutoa somo kwa kuwa umetaka mwenyewe anakuacha ung'ang'ane na makurumbembe, akiitwa kaitika, leo kesho kazama lodge, kichwa maji, ni wa one night stand. Wale uliowapuuzia wakapata watu wanaojielewa waka focus na maisha na wako na happier life.
Kila ukijitahidi kuomba, pengine Mungu anataka ujutie kidogo, anakuja wa zero brain, inabaki kuwa taabu maana alikupa two golden chances ukajifanya kujua sana. Guys, wanawake wengi waliodumu katika maisha ya Ndoa sio hawa tunaowaona katika mitandao, hawa wala bata mpaka kuku akaona wivu, sio hawa wanataka ku take control of the universe, ndiyo wapiga picha za almost nusu uchi, sio hawa wakata viuno kwenye hizi challenges za mitandaoni, sio hawa waweka makucha marefu kama jini, yamkini ni urembo na sifa ya mwanamke ni urembo ila sio hawa wa mjini, nadhani mnawaona na mnawajua. Awe fashionable ila isiwe too much.
Inapotokea ukapata Mwanamke anajitambua na yuko serious fungamana nae, wamebaki wachache sana (1 in a Million). Wengi tunaokutana nao ni vichomi.
Mwl George Sylvester Wambura.