Betri Original ya Tecno C9

Gini

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
398
385
Habari wana jamvi!

Naomba niende moja kwa moja kwenye hitaji la uandishi huu wa uzi. Naomba kuuliza wapi hasa kwa Dar es Salaam (panaweza kuwa Kariakoo) au sehemu nyingine naweza kupata betri Orijino ya simu ya Tecno Camon 9 (C9).

Nimebadilisha betri mwaka jana mwezi wa 9 lakini kwa sasa naona haina uwezo wa kukaa na chaji. Linawahi kuisha chaji, mbaya zaidi ikifika 30% simu huzima pia.

Mbali na tatizo hilo, chaji ikifika 25% simu inajibonyeza bonyeza yenye, Je, tatizo linaweza kuwa nini!

Nawasilisha.
 
Nenda carlcare service center, Itakucost kama 25,000 ila watakuwekea og, uhakika wao ni kwamba tatizo likijirudia unarudi tena, kioo kujibonyeza kwenye cm za tecno hiyo ni touch imekufa.
 
Nenda carlcare service center , Itakucost kama 25,000 ila watakuwekea og, uhakika wao ni kwamba tatizo likijirudia unarudi tena, kioo kujibonyeza kwenye cm za tecno hiyo ni touch imekufa.
Carlcare wanapatikana wapi kwa Dar?
 
Back
Top Bottom