Gini JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 399 Reaction score 386 Jul 12, 2023 #1 Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,303 Reaction score 4,998 Jul 12, 2023 #2 Nunua kuna camera zinarusha utube moja kwa moja
Gini JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 399 Reaction score 386 Jul 12, 2023 Thread starter #3 KANYEGELO said: Nunua kuna camera zinarusha utube moja kwa moja Click to expand... Nnaomba kujua ni zipi kaka, nakufuata PM
KANYEGELO said: Nunua kuna camera zinarusha utube moja kwa moja Click to expand... Nnaomba kujua ni zipi kaka, nakufuata PM