Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 399
- 386
Habari wana Jamvi.
1: Signal za simu yangu sijui niseme ziko chini au lah, ila kila mtandao ninaotumia katika internet mtandao unashika kwa shida sana.
2: Niki set data kwa line fulani, tuseme data ni set TTCl basi line ya Tigo itakuwa sekunde 30 inasoma mtandao na mara nyingi haitakuwa hewani, inaandika no service. Niki set Tigo kwa data basi TTCl nayo itakuwa hivyo, sekunde kadhaa inashika muda mwingi haipo hewani inaandika no service.
Ni TECNO C9. Msaada katika mawili, moja ninapo set dat kwa line hii ile nyingine ibaki hewani, pili namna ya kupata strong access ya internet. Hofu yangu itakuwa katika simu maana haiwezekani mitandao yote iwe na shida.
Nawasilisha.