Sherehe ya Ubingwa (Liverpool) Mercury Park Magomeni

Gini

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
398
385
Ile Party ya Ubingwa si mdo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229
IMG-20200708-WA0003.jpg
 
Ile Party ya Ubingwa si mdo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229View attachment 1500839
Daah sijui kama nitaiwahi
 
Yaani buure unatokelezea kibingwa kusherehekea na liverpool
 
Back
Top Bottom