Search results

  1. The golden

    Je ulishawahi kufanya kazi au kuwa na cheo ambacho kila siku unatishiwa kufukuzwa au kutenguliwa?

    Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako. Au ulishawahi kuwa na cheo au nafasi ambayo kila siku unatishiwa kutenguliwa?, Katika sekta ya elimu kuna cheo fulani leo...
  2. The golden

    Wakuu naomba mwenye dua ya Novena anisadie

    Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
  3. The golden

    Choo kinarudisha ndani kabla hata hakijatumika

    Baada tu ya kuunganisha bomba kwenda kwenye Septic tank ,choo kilianza kurudisha harufu ndani, ikinyesha mvua ndio kabisa kinazidi . Fundi aliyetengeneza hapatikan Lakini vyoo vingine vinavyotumia the same septic tank havirudishi ndani Please, anayejua tatizo ni nini anaisadie.
  4. The golden

    Nimepiga bati juzi tu Nyumba inavuja hasa ikinyesha mvua ya upepo

    Tatizo ni nini watalaamu. Nimeezeka kwa bati za Kiboko rangi ya Maruni. Nyumba inavuja. Moyo unauma maana nimejikamua sana kuuzeka hii nyumba.
  5. The golden

    Kujenga nyumba ni usumbufu sana

    Hii ni mara yangu ya pili kipitia msoto wa ujenzi.Nilipitia hali hii kwa mara kwanza mwaka 2014. Ni kero sana. Ni kero sana kufanya kazi na mafundi ambao hawako smart. Huyu atakuharibia kazi, huyu atakuibia materials, yule ni muongo kachukua kazi halafu hafanyi. Yaaani kuna kila aina ya kero...
  6. The golden

    Nahisi Kiburi Kinaninyemelea kwa Kasi

    Nina maisha ya kawaida kabisa. Elimu yangu ni shahada ya umahiri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona tabia yangu si ya kawaida. Nahisi kama nimeanza kuwa na aina fulani ya kiburi. Wasaidizi wangu wa nyumbani nawafokea kwa makosa madogo madogo sana. Badae moyo wàngu huwa unanisuta. Nimekuwa na...
  7. The golden

    Watanzania na kichaa cha mpira

    Kuna hali fulani hivi ya ushabiki naendelea kuiona si ya kawaida. Nadhani imesababishwa na kutazama mpira wa Ulaya. Watu wamejitolea kwa jasho na damu kupigania mpira kuliko hata maisha yao wenyewe. Kama binadamu jitahidi sana kuhimili mihemko ya mambo ya dunia hii. Dunia ina mambo mengi sana...
  8. The golden

    CWT chama cha matumizi kuliko uwekezaji

    Nimewahi kuwashauri CWT kipindi kile nikiwa mwanachama wao kuwa kwa kuwa wanachama wake wengi( walimu) wana uchumi duni kutokana na maslahi duni wanayopata kutoka kwa mwajiri wao. Chama kijikite zaidi katika uwekezaji badala ya matumizi. Hili linawezekana kama CWT wataachana na matumizi yasiyo...
  9. The golden

    Je ulishakutana na mchepuko ambao haujielewi?

    Yaani kuna wanawake ukimwangalia hivi unamuona kama ni smart, ana maadili mzuri, hata shule ipo kidogo Mnapoanza mahusiano, unashangazwa kidogo na tabia zake. Kwa mfano ukimuuliza siku zake atakuambia hazijui. Okay...…. na wewe mtu makini hutaki tu kuleta watoto duniani bila utaratibu. Any way...
  10. The golden

    Mdahalo kati ya Tundu Lissu na Julius Nyerere

    Bahati mbaya sana swala hili haliwezekani kutokea maana Rais Julius Nyerere hayuko tena duniani. Binafsi ninavutiwa sana na hawa wanasiasa wawili wote ni watu wenye ufahamu mkubwa juu ya maswala ya dunia, siasa na chini kwa ujumula. Mara nyingi nimemsikia Tundu Lissu akikosoa sera za Nyerere...
  11. The golden

    Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

    Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
  12. The golden

    Usipoteze muda wako kwenye mapenzi, poteza muda kwenye vitabu

    Ushahidi unaonesha vijana wengi wa kike na kiume wanahangaika sana na mapenzi. Wanaumizana sana. Usaliti umekuwa juu kiasi cha baadhi ya watu kufikia hatua ya kuuana. Ewe kijana nakusihi kuanzia leo anza kujenga urafiki na vitabu. Vitabu ndio mpenzi wa kweli, havina usaliti kama walivyo...
  13. The golden

    Watanzania tuna tabia ya kupotezeana muda sana

    Hii tabia ya kucheza na muda tusipoiacha tutaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini tu. Hatujali kabisa muda. Ukienda kwenye taasisi za serikali unawekwa benchi bila sababu ya msingi kabisa kwa huduma ndogo tu ambayo ungeipata haraka ukarudi kwenye shughuli za kujenga uchumi wa nchi. Natoa...
  14. The golden

    Watu wengi siyo waaminifu wanapoazima vitu

    Hili ni janga lingine la taifa. Watu wengi siyo waaminifu kabisa. Ukimpa mtu kitu lazima atakiharibu au atachelewasha kikirudisha mpaka uanze kumdai. Rafiki zangu wametia hasara sana ,nadhani kwa sasa kila mtu abaki na vitu vyake.
  15. The golden

    Tatizo letu siyo katiba ni ukosefu wa maadili

    Kama hoja ni katiba mbona hata hii mbovu unavunjwa kila siku? Sisi ni waovu, wabaya, watu tusiokuwa na maadili. Hili swala la hawa wanawake linaweza kuleta mgogoro mkubwa sana kama busara usipotumika. Ngoja tuone.
  16. The golden

    Kuna tofauti gani kati ya Physics na Metaphysics?

    Naomba wajuzi wa hizi taaluma watueleze utofauti wake. Kwa nini Metaphysics haifundishwi katika mfumo wetu wa elimu ya msingi hasa elimu ya sekondari ,kama ilivyo Physics. Ninafahamu kuwa Metaphysics ni taaluma pana, inayohusisha Ontology, Epistemology na Logic. Nina fahamu siyo rahisi...
  17. The golden

    Wakuu naomba msaada wenu

    Gari yangu automatic transmission, inapobadili gia ,unatokea mshituko flani hivi. Au unapoingiza gia ya kwanza lazima kishindo fulani kitokee. Naomba msaada tatizo ni nini?
  18. The golden

    Wakubwa naomba msaada, ile taa inayoonesha kuwa mafuta yamekaribia kuisha haiwaki tena

    Hakuna ishara yoyote kuhusu mafuta. Kama hauko makini gari inaweza kuzimika. Naomba msaàda wenu.
  19. The golden

    Nafunga Novena kuna Supervisor ameutesa sana moyo wangu pale jalalani

    Ameniumiza sana, umeuvunja moyo wangu vipande vipande. Kinachoniuma zaidi si yeye kunichelewesha nisimalize shule kwa wakati bali ni maneno ya dharau na kejeli ambayo amekuwa akinitamkia. Amenifanya mimi ni kiumbe duni kabisa nisiyesitahili heshima wala kuthaminiwa. Nimevumilia na kuwa myonge...
Back
Top Bottom