Je ulishawahi kufanya kazi au kuwa na cheo ambacho kila siku unatishiwa kufukuzwa au kutenguliwa?

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako.

Au ulishawahi kuwa na cheo au nafasi ambayo kila siku unatishiwa kutenguliwa?,

Katika sekta ya elimu kuna cheo fulani leo sitakitaja. Hiki cheo ni tabu tupu. Vitisho haviishi. Kila mtu anakutishia kukutengua. Kila mtu ni Boss wako. Ni cheo chenye changamoto nyingi sana. Watu hawana amani ni vitisho tu. Nafasi hii ni mzigo mzito sana.
 
Pole mkuu

Ila usiogope we zingatia kufanya kazi kwa weledi na kwa uwezo wako.

Pia unabidi kujua hicho cheo haujakipata kwa Bahati mbaya na hata kikiondoka itakuwa siyo Bahati mbaya.

Kufanya kazi na MTU mweusi huwa ni changamoto Sana. Hawajawa civilized.

We usifikirie kukosa cheo Ila fikiria kuiishi leo yako ambayo ndo muhimu Sana.

Do your best.

Umasikini ni mbaya so don't hate anybody and cherish every single moment.
 
Asante mkuu. Umeandika comment positive sana.
 
Back
Top Bottom