The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Naomba wajuzi wa hizi taaluma watueleze utofauti wake.
Kwa nini Metaphysics haifundishwi katika mfumo wetu wa elimu ya msingi hasa elimu ya sekondari ,kama ilivyo Physics.
Ninafahamu kuwa Metaphysics ni taaluma pana, inayohusisha Ontology, Epistemology na Logic. Nina fahamu siyo rahisi kufundisha yote haya kwenye mfumo wa sekondari.
Kwa nini hata basics zake hazifundishwi?. Au Metaphysics ni forbidden knowledge?