Watanzania tuna tabia ya kupotezeana muda sana

Watanzania tuna tabia ya kupotezeana muda sana

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,383
Reaction score
2,586
Hii tabia ya kucheza na muda tusipoiacha tutaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini tu. Hatujali kabisa muda. Ukienda kwenye taasisi za serikali unawekwa benchi bila sababu ya msingi kabisa kwa huduma ndogo tu ambayo ungeipata haraka ukarudi kwenye shughuli za kujenga uchumi wa nchi.

Natoa ushauri. Huu ni wakati wa kubadilika. Watumishi wa serikali badilikeni mnarudisha uchumi wa nchi nyuma kwa kutokutoa huduma haraka.
 
Ni muda wa kutambua muda una thamani kuliko pesa. Mfano unaweza poteza laki, kesho ukaingiza laki 2, ili siku uloshinda bila shughuli ya maendeleo au kumuabudu Muumba, hairudi hiyo.
 
Mualimu akifiwa shule yote inafungwa siku mbili hamna kazi loh!!!!!
 
Ni muda wa kutambua muda una thamani kuliko pesa. Mfano unaweza poteza laki, kesho ukaingiza laki 2, ili siku uloshinda bila shughuli ya maendeleo au kumuabudu Muumba, hairudi hiyo.
Ni kweli mkuu
 
Hiyo ipogo automatically kwa Africa, We angalia tu vidada vilivyo kwenye huduma za Customer service kwenye makampuni, Unakuta maringo mengiii mara aamke atembee tembee, mara ajipokeleshe visimu na huku anaona mpo kwa foleni na watu wanahitaji huduma kwa haraka..... Yaani unakuta anakera watu mlio na haraka hadi unatamani upate nafasi umzingue😡 .... Anyway bongo usipopoteza muda unapotezewa.
 
TRA, Meza za wahudumu 4 Mbili ndio Zina wahudumu, mMoja ndie anatoa huduma mwingine nikutoka na kuingia mpaka jioni.
Bank madirisha ya tellers yako 4 plus mapokezi but unakuta most of the time moja au 2 tuu ndiyo yanafanya kazi, huu ni uzembe sana
 
Mualimu akifiwa shule yote inafungwa siku mbili hamna kazi loh!!!!!
Saba saba (inayofanyika huko Dar) tunapumzika... Nane nane inayofanyika mikoa michache nchi nzima tunapumzika, daah hatari sana...
 
Hiyo ipogo automatically kwa Africa, We angalia tu vidada vilivyo kwenye huduma za Customer service kwenye makampuni, Unakuta maringo mengiii mara aamke atembee tembee, mara ajipokeleshe visimu na huku anaona mpo kwa foleni na watu wanahitaji huduma kwa haraka..... Yaani unakuta anakera watu mlio na haraka hadi unatamani upate nafasi um-bake😡 .... Anyway bongo usipopoteza muda unapotezewa.
Kha!eti um-bake....sheeda
 
Muda ni mali tuuzingatie jamani,mkulima ingawa anapunjwa malipo anajua kutumia muda sana.
 
Back
Top Bottom