Search results

  1. Farolito

    Tundu Lissu; Wajumbe wa Bunge la Ulaya walikataa kukutana na Malaigwanani na Masai wa Mchongo!

    Wakuu, Lissu ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuzuiliwa kwake na timu yake kufanya mikutano Ngorongoro, amesema kwamba kisa cha Wabunge wa Ulaya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro ni kukataa kitendo cha Serikali kuwapangia ratiba na watu wa kukutana nao. Walikataa...
  2. Farolito

    Picha ya familia: Miaka 33 baadaye!

    Wakuu, Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1987 huko sokoni Budapest Hungary. Picha ya pili ilipigwa tena kwa mfanano kama ule wa kwanza(recreated)na watu walewale, eneo lilelile mwaka 2020. Inaleta kumbukumbu nzuri sana hasa ukizingatia ni muda mrefu sana umepita na mabadiliko mengi yametokea...
  3. Farolito

    Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Wakuu, Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema." Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...
  4. Farolito

    Msaada: Ni mafuta au cream ya kufuta makovu ya moto

    Wakuu, Naomba ushauri wa kitaalamu. Ni mafuta au cream gani nzuri kwa ajili ya kufuta makovu ya moto(burn scars)first degree burn kwa watoto. Ahsante.
  5. Farolito

    Huu utaratibu wa Viongozi kuwaajiri watu wenye Ubunifu na Ujasiri unaua maono!

    Wakuu, Miezi kadhaa iliyopita alijitokeza shujaa Majaliwa Mvuvi aliyethubutu kuwaokoa watu kutoka kwenye ajali ya Ndege iliyotumbukia baharini kwa kufanikiwa kufungua mlango wa ndege na kuanza kuokoa watu. Mara baada ya taarifa zake kusambaa serikali ikatangaza kwamba aajiriwe jeshi la...
  6. Farolito

    Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

    Wakuu, Unaweza kuona kama swali dogo hivi ila ni la msingi sana,kama hujakutana na mgogoro wake basi kuna siku utakukumba tu [emoji3] Siku kadhaa zilizopita nilipanda basi kwenda mahali fulani,kilichofanya niulize swali ni tukio hili; Upande wa kushoto dirishani alikaa Mdada umri wa kati...
  7. Farolito

    Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

    Wakuu, Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani? Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza? Ahsante.
  8. Farolito

    Wapi nitapata mashine ndogo ya kuvunia mpunga?

    Wakuu Salaam, Kwa wanaojua ni wapi naweza kupata mashine ya kuvuna mpunga kwa hapa Tanzania kwa maana ya kununua au pia kuagiza nje ya nchi pamoja na bei yake? Mashine ninayohitaji ni ndogo sio zile kubwa(Combine harvester),na itakuwa vizuri kama nitajua bei ya kwa maana ya iliyotumika au...
  9. Farolito

    DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

    Mheshimiwa Waziri, Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila kushirikisha wazazi huku wakiwa tayari wamepanga na gharama zao. Hivi walimu wanashindwa vipi kumaliza...
  10. Farolito

    Tukiachana na Flagship phones, nipe ushauri wa Mid range smartphones ukitoa Tecno na Infinix!

    Wakuu, Naomba ushauri ni simu gani nzuri(Smartphone) ambayo ni Mid range pamoja na bei yake(Tanzania) kutoka kampuni yoyote kubwa isipokuwa Tecno na Infinix kwa vigezo vifuatavyo: [emoji736]Brand new [emoji736]Bajeti: 200,000-500,000 [emoji736]Battery:30000 mAh- 5000 mAh [emoji736]Earphone...
  11. Farolito

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Habari, Kupitia majukwaa mbalimbali yaliyomo humu JF,kuna baadhi ya wanachama ambao kwa namna moja au nyingine katika kuchangia mada tofauti tofauti wamekuwa wakiahidi kuleta nyuzi zao(kuleta Uzi) ili kuongezea au kuleta mada mpya kutokana na majadiliano yaliyoibuka mle, kwa namna ya...
  12. Farolito

    Madaktari wetu hasa nyie vijana wa sasa mjitafakari sana utendaji kazi wenu!

    Wakuu, Hiki kisa nimekutana nacho sio siku nyingi. Huyu dada alikuwa anafanya kazi mahali fulani, sasa katika majukumu yake akakutana na mteja(Mzee) ambaye hufika hapo kupata huduma. Mzee akaanza kumtaka kimapenzi huyo dada lakini kwa maelezo ya huyo dada akawa akimzungusha muda mrefu,sasa...
  13. Farolito

    Mnaoondoa mabampa ya Plastiki kwenye gari na kuweka ya Chuma au Ngao mnajitafutia kifo cha kujitakia!

    Wakuu, Kumekuwa na tabia ya wamiliki wa magari hasa magari binafsi kutoa mabampa(bumpers) ya mbele au nyuma na kuweka ya chuma wakiamini kwamba ndio gari itakuwa imara na Salama zaidi kama itapata ajali ya kugongana uso kwa uso au wakati mwingine wanaweka Ngao ya Chuma mbele wakiamini gari...
  14. Farolito

    Anayejua Habari kamili ya hawa wanandoa atusaidie!!

    Wakuu, Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza). Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama...
  15. Farolito

    Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

    Wakuu, Katika kupita mitandaoni nimekutana na hiki kitabu wanaita "The Urantia book" Urantia inamaanisha "Planet earth". Hiki kitabu wanasema kina majibu ya mambo mengi sana,na waliokisoma wanasema ni kitabu ambacho kinakufanya uwe mtu bora sana ambacho kinamrudisha mtu katika kuthamini watu...
  16. Farolito

    Msaada:Natafuta Uzi wa "Wiki takatifu ya Pasaka"

    Habari wakuu, Kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka kadhaa nyuma ukielezea wiki nzima kabla ya Pasaka na matukio yake kwa kina. Sikumbuki ulikuwa na kichwa gani hasa na uliletwa na nani ila ulizungumzia matukio muhimu ya Yesu na watu wake muhimu katika Juma zima kuelekea Pasaka,nimejaribu...
  17. Farolito

    Leo ni siku ya Kimataifa ya kupinga chuki dhidi ya Uislamu na waislamu, Ni nani anawachukia?

    Wakuu, Leo tarehe ni siku ya Kimataifa ya kupinga chuki dhidi ya Uislamu na waislamu duniani,siku hii huadhimishwa kila tarehe 15 March. Siku hii ilitangazwa na umoja wa mataifa,sasa najiuliza nani anawachukia waislamu au Uislamu kiasi cha kutengewa siku maalumu? Naombeni majibu. --- The...
  18. Farolito

    Mwl. Mwakasege: Kuna maamuzi makubwa yatafanywa na viongozi na yatawashangaza, tunahitaji waombaji wa kimkakati

    Dar es Salaam. Akifundisha katika semina ya neno la Mungu katika Viwanja vya Tanganyika Packers iliyoanza terehe 08.03.2023, yenye Somo "KUITIKA WITO WA MUNGU WA MAOMBI YA KIMKAKATI" Mwakasege amesema kwamba katika kipindi cha miaka minne 4 kuanzia mwaka huu 2023 mpaka 2026 viongozi Watafanya...
  19. Farolito

    Kero: Mafundi kuweni wastaarabu

    Habari, Mafundi ni moja ya watu muhimu katika maisha yetu ya kila siku ila wengi wenu mmekuwa na mambo sio ya kistaarabu sana inabidi mbadilike; 1.Unapeleka gari litengenezwe,Fundi anaingia chini kumwaga oil au kucheki tatizo akitoka huko nguo ina michanga na oil anaingia hivyohivyo ndani ya...
  20. Farolito

    Swali: Kazi ya Skauti Tanzania ni nini?

    Wakuu, Naomba mwenye ufahamu anijulishe hivi Skauti kazi yao ni nini hapa Tanzania? 1. Na Je majukumu na muundo wake ukoje na unatambulika Kikatiba? 2. Nifahamishwe kama ni jeshi au ni kikundi tu kimeundwa na mtu au taasisi 3. Viongozi na Wanachama wake wanapatikanaje? 4. Wanalipwa...
Back
Top Bottom