Tukiachana na Flagship phones, nipe ushauri wa Mid range smartphones ukitoa Tecno na Infinix!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Naomba ushauri ni simu gani nzuri(Smartphone) ambayo ni Mid range pamoja na bei yake(Tanzania) kutoka kampuni yoyote kubwa isipokuwa Tecno na Infinix kwa vigezo vifuatavyo:

Brand new
Bajeti: 200,000-500,000
Battery:30000 mAh- 5000 mAh
Earphone jack
FM radio
RAM 2GB and above

Ukiweza kutupia na Picha na maelezo ya ziada itapendeza zaidi.

Ahsante.
 
Sina hakika kama utapata hizo brands nyinginezo zikiwa na charge ya kawaida pamoja na size ya battery hilo ulilolitaja.
Ok, ngoja nitoe hilo sharti kwanza,nitaangalia option zitakazopatikana,ikipatikana isiyo na type C itapewa kipaumbele
 
Back
Top Bottom