Picha ya familia: Miaka 33 baadaye!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1987 huko sokoni Budapest Hungary.

Picha ya pili ilipigwa tena kwa mfanano kama ule wa kwanza(recreated)na watu walewale, eneo lilelile mwaka 2020.

Inaleta kumbukumbu nzuri sana hasa ukizingatia ni muda mrefu sana umepita na mabadiliko mengi yametokea.

Mpiga picha pia ni yuleyule wa mwaka 1987 ambaye ndiye mume huyo binti(wa zamani) na baba wa huyo binti(wa sasa).

Anaitwa Attila Manek,kazi yake ni photographer.

Mungu ni mwema sana.


49520719adab6acc4bb0cc2b6c5e8973.jpg
attila-manek-photo-2020.jpg
images.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom