Anayejua Habari kamili ya hawa wanandoa atusaidie!!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).

Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.

Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?

Karibuni.
IMG_20230422_142746.jpg
 
Karibuni.View attachment 2601624
Ukiona hivyo ana hela. Huwezi pata murembo Kama huyo ukiwa broke
 
Kuna story ya uongo kwamba huyo jamaa anaeoa kapooza miguu hawezi kusimam hao wengine ni rafiki zake wanamsaidia kusimama

Ukweli ni kwamba hio ni ishara ya umoja kwenye baadhi ya nchi katika vikundi kama kambi za kupigania uhuru, harakati, , jeshini, n.k hasa wakiwa wanaishi wote kwa muda mrefu, ni kama ishara ya kuonyesha brotherhood.

1682614287547.png

8bf7445e2b1b8748deafebd7efeecdf7.jpg

H6ovA8C.jpeg
 
Wakuu,

Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).

Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.

Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?

Karibuni.View attachment 2601624
Hao wa nyuma hawana dalili kama wanambeba mtu asiyeweza kusimama.
Wanaume siku hizi wanatafuta sababu hata zisizo za ulazima kukaribiana (kimwili) kiasi hiki. Inatisha!
 
Aisee
 
Back
Top Bottom