Search results

  1. Alexander The Great

    SHERIA: Kuambatana na Mhalifu ni sawa na kutenda Uhalifu. Je, aliowataja Ole Sabaya watawajibishwa kisheria?

    Habari Wana JF, Mnamo tarehe 13 Agosti 2021, Mtuhumiwa Ole Sabaaya katika kesi ya jinai ya kupora fedha kwa kutumia silaha mkoani Arusha inayomkabili, yeye na wenzake, milango ya utetezi iliwekwa wazi kwa watuhumiwa ili kuanza kutoa ushahidi wa kujitetea. Hii ilikua mara baada ya Mahakama kutoa...
  2. Alexander The Great

    Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV

    Habari wana Jamii, Nimekaa na kutafakari kuhusu kesi ya Ugaidi Ya Freeman Mbowe na Wenzake ambayo inakaribia kuanza mwezi ujao. Na ndio nikaamua kuanzisha hii thread maalum ya kuomba kesi hio irushwe "LIVE COVARAGE" kwa kutumia Channel Maalum (Za Bure) kama ilivyofanyika; I) South Africa -...
  3. Alexander The Great

    Rais Samia Suluhu Hassan; Muda si Rafiki kwako, unahujumiwa na hao hao unaowalea na kuwaonea aibu

    Kwako Rais, Najua itakufikia hii makala, ila sijui kama utaifanyia kazi. Kumbuka, sisi wana JamiiForums (Mnaotuita Viherehere Wa Mitandaoni) kuanzia mwanzo wa safari yako ya Urais, speech zako za awali zilitupa moyo sana na kutufuta machungu ya awamu iliopita (Miaka 5 iliopita). Tulipata amani...
  4. Alexander The Great

    Kali Ya Karne: Mlinzi wa Getini amuomba rushwa Rais Uhuru Kenyatta ili amruhusu kutembelea bustani ya taifa nchini Kenya

    Habari Wana Kijiji, Leo katika pita pita za kusoma habari mitandaoni, nimekutana na kali ya karne katika bara zima la Africa. Kenya wamevunja rekodi ya Rushwa katika bara la Africa (Kama Sio Duniani Kwa Ujumla). Nirudi kwenye mada husika, Siku za hivi karibuni, Rais Uhuru Kenyatta alikwenda...
  5. Alexander The Great

    Alikiba x Rude Boy - Salute: Nawaalika wapenzi wa Alikiba na Sadala mje kurushiana mawe hapa

    Habari wana Jamvi, Kuna huu mwimbo wa "Alikiba X Rude Boy - Salute" ambao umeachiwa karibu saa moja iliopita na Alikiba mwenyewe kwenye page zake. Baada ya kuufungua na kuusikiliza, nikajikuta nakumbuka vita za kurushiana mawe za wana kijiji wenzangu JamiiForums, kati ya #TeamKiba na...
  6. Alexander The Great

    Hatimae Bodyguard Wa Milton Obote Arejea Uganda Kwa Familia Yake, Baada Ya Kujificha Tanzania Kwa Miaka 51

    Habari Wana Kijiji, Siku ya tarehe 10, mwezi May mwaka 2021, majira ya mchana hisia zilikua juu katika kijiji cha "AGORA" nchini Uganda mara baada ya aliekua mlinzi (Bodyguard) wa aliekua Rais Dikteta Milton Obote, bwana "VINCENT OBODO" kurejea kwenye familia yake na kukutana na wake zake...
  7. Alexander The Great

    Rocket Ya Uchina Ilikwenda Nje Ya Dunia Inatarajiwa Kuanguka Duniani Weekend Hii Baada Ya Kupata Hitilafu, Mahala Itakapo Anguka Haijulikani Bado.

    Habari Wana Jamvi, Habari za hivi punde zinasema kwamba Rocket Ya Uchina (Space Rocket) iliopata hitilafu juu ya anga, nje ya anga ya dunia, inatarajiwa kuanguka katika dunia weekend hii. Licha ya kutegemewa kuanguka kwa Rocket hio kubwa, haijulikani itaanguka wapi na muda gani katika dunia...
  8. Alexander The Great

    Real Madrid, Barcelona Na Juventus Zajiandaa Kuzishtaki Mahakamani Team 9 Zilizojitoa Katika European Super League

    Habari Wana Soka, Taarifa za katika ulimwengu wa soka zinazohusiana na European Super League ilioandaliwa na team 12 kubwa barani ulaya zimechukua sura mpya. Kutokana na taarifa hizo zinazoenea ni kwamba Real Madrid, Barcelona na Juventus zinajiandaa kuziburuza mahakamani Manchester United na...
  9. Alexander The Great

    PICHA: Sababu Hamis Kigwangalla anatetea chanjo ya Corona Virus. Akutana Na Bill Gates Na Jasusi Kutoka Israeli

    Habari Wana Jamvi, Ni kawaida kwa viongozi wa taifa letu kuwa vigeugeu katika misimamo yao na ukakasi katika matamko yao. Kiburi na majivuni yamekua kama nguo juu ya tabia zao. Pengine ni udhaifu waliokua nao na unaotokana na kutokua na elimu katika ya uongozi wa umma. Kwa upande wetu raia...
  10. Alexander The Great

    Njombe: Biashara 148 Zimefungwa Ndani Ya Siku 90 - Manager Msaidizi TRA George Mapunda

    Habari Wana Jamvi, Zaidi ya biashara 140 zimefungwa Njombe ndani za siku 90, kuanzia January 2021 mpaka March 2021, kutokana na sababu tofauti tofauti, miongoni mwao madeni na masoko kufa. Kwa ufupi, Taarifa hii imewekwa wazi na Manager Msaidizi Wa Mamlaka Ya Mapato Mkoa Wa Njombe, Bwana...
  11. Alexander The Great

    KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

    Habari Wana Jamvi, Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli. Raia tumefumbuliwa...
  12. Alexander The Great

    Kikao cha Dharura: Mashabiki wa team 12 (Vichwa Ngumu) zilizoanzisha "European Super League". Tukutane hapa tujadili jambo hili

    Habari Wana Jamii, Habari Wana Soka. Leo ni "Afe Kipa, Afe Beki - Bukta Chanika, Boxa Vuuka - Lazima Kieleweke" limeanza amsha amsha na kuwekwa wazi kwa team vichwa ngumu barani ulaya, zilizoamua kusaliti kambi na kuanzisha League yake, hii ni baada ya kuona "UEFA & FIFA" ni wahuni na wapangaji...
  13. Alexander The Great

    China yakamata viungo vya uume (Human Penis) 7,221 katika meli ya mizigo tokea Lagos

    Habari wana Jamvi, Jumla ya Viungo Vya Uume (Penis) 7,221 vyenye asili ya Africa vimekamatwa na Wafanyakazi Wa Usalama Wa Bandari China katika meli ya mizigo iliotokea Lagos (Nigeria). Na kuweka historia ya kwamba ndio ukamataji ya viungo vya wanaadamu vingi kuwahi kutokea. Viungo hivo ambavyo...
  14. Alexander The Great

    Tukumbushane: Wabunge wa CCM waliopendekeza Hayati Magufuli aongezewe miaka ya kuongoza nchi

    Habari Wana Jamvi, Tukumbushane wabunge hawa wa CCM waliowasha moto bungeni kutaka Rais Magufuli aongezewe muda katika utawala wake, ikiwezekana waliomba hata katiba ya nchi ibadilishwe ili imruhusu kutawala kwa mihula mingine (Na kama angekataa basi alazimishwe atake asitake); 1) Deo Sanga -...
  15. Alexander The Great

    Kwanini Wanajeshi wa Tanzania walipiga salute sawasawa na aliokua akitumia "Dikteta Adolf Hitler" mara baada ya kumzika Hayati Rais Magufuli

    Habari wana Kijiji, Nimekaa na kutafakari sana mambo ya "KITAMADUNI YA KIJESHI" yaliofanyika katika mazishi ya Hayati Rais Magufuli. Hakika jeshi linahitaji pongezi za hali ya juu kwa usanifu wa kazi zao na tamaduni zao walizo rithishwa toka enzi na enzi (Japo ni wajibu wao). Miongoni mwa...
  16. Alexander The Great

    #COVID19 Covid 19 sio janga kubwa la mwisho, tujiandae na janga kubwa lingine - Bill Gates

    Habari wana Kijiji, Katika pirika pirika za hapa na pale kusoma taarifa za habari, nimekutana na mahojiano aliofanya tajiri wa marekani mnamo tarehe 27 January 2021, tajiri huyo miongoni mwa matajiri wa dunia alipokua akihijiwa na The Cable, Bill Gates. Katika mahojiano hayo, Bill Gates...
  17. Alexander The Great

    Nini cha kufanya mara tu baada ya kuingiliana kimwili na muathirika wa UKIMWI?

    Habari Wana Kijiji, Kwa muda tunapost thread nyingi ni za kuomba msaada/umbea/habari na kupeana ushauri. Leo nimeamua kuja na thread hii ya kufundisha/kukumbusha/kuelimisha na kutahadharisha. Ukimwi (H.I.V) kwa maisha ya sasa si HUKUMU YA KIFO TENA kama ilivyokua hapo awali. Gonjwa hili...
  18. Alexander The Great

    Rais Museveni: Naibu wa pili wa Waziri Mkuu, Kirunde Kivejinja afariki kwa COVID19

    Habari Wana Kijiji, Habari za hivi punde zilizo wasilishwa na wana familia sambamba na vyombo vya habari ni kuwa "NAIBU WAZIRI MKUU WA UGANDA MR. ALI KIRUNDA KIVEJINJA" afariki dunia. Mungu ailaze roho ya marehemu pahali inapostahiki. ======= Uganda’s second deputy Prime Minister, Kirunda...
  19. Alexander The Great

    Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

    Habari Wana Kijiji, Binafsi nimeshtuka sana, mpaka nlidodosha bakuli langu la pombe ya kienyeji jana usiku nlipokuwa kilabuni baada ya kupata habari hizi za kuogofya na kushtua. Habari zenyewe ni baada ya kuambiwa wale jamaa zetu wanaotupa misaada kama taifa, misaada wanayotupa ya kila mwaka...
  20. Alexander The Great

    Prof. Kabudi, Maamuzi uliyochukua ni Makosa ya Jinai (Sio Kosa Moja)

    Habari WanaJF, Kwa masikitiko makubwa naandika makala hii kumkumbusha "MSOMI" Prof. Palamagamba Kabudi (Waziri Wa Mambo Ya Nje) madhara ya kauli yake ya kichochezi. Nina amini kwa elimu aliokua nayo anatambua na kuelewa nitakacho andika. Kwa mamlaka uliopewa kisheria, kama Waziri Wa Mambo Ya...
Back
Top Bottom