Alikiba x Rude Boy - Salute: Nawaalika wapenzi wa Alikiba na Sadala mje kurushiana mawe hapa

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,581
Habari wana Jamvi,

Kuna huu mwimbo wa "Alikiba X Rude Boy - Salute" ambao umeachiwa karibu saa moja iliopita na Alikiba mwenyewe kwenye page zake.

Baada ya kuufungua na kuusikiliza, nikajikuta nakumbuka vita za kurushiana mawe za wana kijiji wenzangu JamiiForums, kati ya #TeamKiba na #TeamSadala.

Karibuni kutoa mapovu.

Rude Boy amefanya mauwaji katika kipande alichoimba kwa lugha ya kiswahili "Tuombe mungu Inshaallah amina, atuepushe na viji zamina"
 
Hahahaha hivi ilianzia wapi jamaa kuitwa Sadala? Chanzo na kiini cha neno sadala ni lilikuwq jambo gani?
Walimpachika #TeamKiba na kaka yao #Alikiba huko instagram, walimkalia kikao cha send-off cha dharura baada ya Diamond kukasirika na kuwatukana Forbes kuhusu ile list ya wasanii matajiri africa.

#TeamKiba ikiongozwa na Alikiba wakapost "Sadala acha kumind mind, Forbes wanajua kazi yao vizuri ya kufanya tathmini ya utajiri kwa wasanii/matajiri". Hawakumtaja kwa jina as Diamond.

Jamaa wakaanza kuharisha kwenye hio post kweli kweli mara sijui "Sadala acha kulialia, nenda kauze karanga huko". Jina lika trend kama moto huko "Sadala Muuza Karanga, Sadala Muuza Karanga".
 
Hizi zote ni harakati za walioshindwa, kusema ukweli huo wimbo mpya nimeusikiliza hakuna kipya Wala la kuvutia. Ni nyimbo zilezile za kina mziki mzuri.
 
Back
Top Bottom