UTANGULIZI:
Sensa ya watu na makazi ni nini?
Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
Dogo nimemlipia hela ya usajili wa kufanya mtihani QT(form 4) NECTA, pamoja na kumlipia kituo cha kufanyia huo mtihani.
Ila sasa anasema kuna fomu za kujaza kwa ajili ya huo mtihani ambazo zinalipiwa kwa Tsh 40,000/=.
Hiki kitu sijawahi kukisikia nimepata mashaka, nimemwambia dogo aende kwenye...
Nimelipia Application fee halafu mfumo wenu unasema bado sijalipa na kuonesha control namba hiyo hiyo niliyoitumia kulipia.
Nimewasilisha tatizo langu kwenu mnasema mnalifanyia kazi tangu saa 7 mchana hadi muda huu bado hamjamaliza, kweli?
Kesho ndio mwisho wa kutuma maombi, kwa nini mnataka...
Habari wana JF, Poleni na mihangaiko ya weekend.
Kuna tatizo hapa linanitatiza, nimeshindwa namna ya kulitatua, naombeni msaada wenu.
Katika kipindi cha likizo ya Corona nilipokuwa na mwenzangu nilikuwa naweka line yake kwenye simu yangu ili nitumie kifurushi cha MB alichojiunga kupitia line...
Habari wakuu, Poleni na mapambano dhidi ya Corona, mapambano ya kutafuta riziki na poleni kwa mfungo kwa wale waliofunga.
Kichwa cha uzi kinajieleza, katika kipindi hiki cha mfungo nataka nifanye hii biashara ila sijui sehemu nitakapopata mzigo, nimejaribu kuwauliza watu wanaofanya hii biashara...
Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini.
Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi.
Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota kwenye bomba karibu ni sawa tu).
Kwa wenyeji na wazoefu wa mji wa kibaha kuhusu upangaji naombeni...
Habari zenu Wana JF.
Heri ya Mwaka Mpya wote.
Ni matumaini yangu wengi wetu hatujambo na tunaendelea kusherehekea vizuri mwaka mpya, na wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako salama. Mungu awajalie waweze kurejea katika hali zao za kawaida.
Nende kwenye mada. Miongoni mwa malengo yangu...
Waswahili(wahenga) walisema ''Mungu si Athumani" pia ''Mungu hamtupi mja wake"
Nilipata supp kwa kipindi chote cha miaka 4 nikiwa napambana na elimu yangu ya juu. Haikuwa jambo dogo hatimaye ndoto imetimia, ni furaha isiyokuwa na kifani. Sasa nimepita hatua moja na kuelekea hatua nyingine...
Habari zenu wakuu.
Nilikuwa nafanya Application ya Chuo Kikuu Dodom(UDOM), nilikuwa nimefika kwenye hatua ya kulipa Application fee kwa njia ya mtandao simu(Tigo).
Nimelipia na nimetumiwa code za kukamilisha malipo, niliigiza hizo code na malipo yakakamilika, baada ya malipo kukamilika...
Ndugu yangu ameingia kwenye siku zake(hedhi) maarufu kama Period kabla ya muda.
Kwa mwezi huu mzunguko ulitokea tarehe 6 hadi 10. Lakini leo kaona siku zake tena.
Tangu aanze kupata siku zake hajawahi kutokewa na hali ya kuwahi au kuchelewa kupata hedhi kwenye mzunguko wa siku zake...
Wanafunzi wamehitimu mwezi wa kumi mwaka jana hadi sasa matokeo bado hayajatoka.
Tatizo ni nini? Mtayatoa lini hayo matokeo? Kwa nini mnachelewesha matokeo kiasi hicho hadi wanafunzi wanakataa tamaa juu ya walichokisomea?
Wanafunzi wanahangaika kufuatilia lakini mumekaa kimya bila kutoa...
Habari za wakati huu wana JF
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza hapo juu
Naomba yoyote anayejua App nzuri ya ku edit picha( ama kufuta maneno kwenye picha kwa colouring au kuongeza maneno kwenye picha)
Naomba unitajie jina ili niiende Play store nikaipakue
Ahsanteni!!
Habari za asubuhi wana JF.
Kama ilivyo kawaida na ilivyozoeleka kwa mfanya biashara yeyote akiwa katika kazi yake ni lazima aitangaze bidhaa yake kwa namna mbalimbali ili kumvutia mteja.
Kwenye hii biashara ya wauzaji wa simu za kidigital(smartphones) kwenye maduka madogo madogo ya rejareja...
Habari za jioni wana JF.
Poleni sana na pilika pilika za kutwa nzima za kutafuta riziki.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kwa yeyote anayejua chuo cha Kiislamu jijini Dar es Salaam kinachotoa mafunzo ya kozi ya IT kwa ngazi ya cheti kwa gharama nafuu isiyozidi Milioni 1...
Habari za Jumapili wana JF
Zikiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018.
Leo nimeona nitembelee hiyo sehemu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari, kwani sijawahi kufika tangu hilo daraja likamilike.
Sehemu kama hii ni mojawapo ya recreation place sio vibaya...
Habari za muda huu wote wapenzi wa mtandao huu
Nimejiunga na huu mtandao mnamo Dec 2, 2017. Nimefurahishwa sana na namna mijadala inavyoendeshwa humu na nimehasika sana.
Tangu nijiunge nilikuwa nashindwa namna ya kuanzisha mada kwani na mimi baada ya kuona mada mbalimbali zinaletwa humu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.