Habari za asubuhi wana JF.
Kama ilivyo kawaida na ilivyozoeleka kwa mfanya biashara yeyote akiwa katika kazi yake ni lazima aitangaze bidhaa yake kwa namna mbalimbali ili kumvutia mteja.
Kwenye hii biashara ya wauzaji wa simu za kidigital(smartphones) kwenye maduka madogo madogo ya rejareja, wauzaji wanajitahidi kuwavutia wateja kwa mbinu mbalimbali mojawapo ikiwa ni kuwaonesha ubora wa camera ya simu.
Ukienda dukani mara nyingi hawa wauzaji wa simu wanawahi kukuonesha camera jinsi inavyoweza kupiga picha wewe mwenyewe maarufu kama selfie.
Sidhani hicho ndio kama kigezo cha ubora wa simu(original), maana simu inaweza kuwa na camera nzuri lakini ikawa fake, na simu nyingine inaweza ikawa na camera yenye ubora wa hali ya chini(low quality) lakini ikawa original na imara.
Wakuu, ni vitu gani vya kuangalia ili kujua hii simu ni original au fake pindi unapokuwa unanunua simu.
Karibuni tujuzane wakuu.