Nataka nifanye biashara ya Mihogo, Viazi, Magimbi. Ni sehemu gani naweza kuvipata kwa bei ya jumla hasa mashambani

Vitamin K

Senior Member
Dec 2, 2017
158
168
Habari wakuu, Poleni na mapambano dhidi ya Corona, mapambano ya kutafuta riziki na poleni kwa mfungo kwa wale waliofunga.

Kichwa cha uzi kinajieleza, katika kipindi hiki cha mfungo nataka nifanye hii biashara ila sijui sehemu nitakapopata mzigo, nimejaribu kuwauliza watu wanaofanya hii biashara ila sijafanikiwa kuelezwa na nimebaini wanakataa kunieleza kutokana na interest za kibiashara(ushindani).

Ndugu zangu wana JF naomba mnieleze ni wapi naweza kupata mzigo wa bidhaa mojawapo kati ya hizo au zote, sehemu ikiwa ni Pwani au karibu na Pwani(Moro n.k) itakuwa ni vizuri zaidi. Biashara nitaifanyia Kibaha.

Pia naomba nielezwe gharama za kununua na kusafirisha mzigo kuanzia gunia moja.

Ahsanteni.

Tuchukue tahadhari na Tujikinge na Corona
 
Nina viaz vitamu shamba lipo moro..mikumi.kijij kisanga nichek humu tuzungumze zaid 0734100904.0688046113
 
Back
Top Bottom