Sawa MkuuWeka picha ya simu yako halisi sio hiyo ya mtandaoni
unauliza bei wakati picha hujaiona? kwa taarifa yako hiyo picha ni ya kudownload mtandaoni aweke picha halisi na ogopa sana mtu anayetumia nafsi ya mtu mwingine kuwasilisha tangazo haswa la uuzaji ni dalili ya kwanza ya change la macho kwa sisi wenye kuona kwa jicho la tatuBei ya mwisho
Yeye ni phone dealer?Ndugu yangu anauza simu tajwa hapo juu
Bei ni 645,000/=
Imetumika kwa muda wa miezi 7.
Yupo Dar es Salaam, wasiliana naye WhatsApp 0769382651
HapanaYeye ni phone dealer?