Msaada: Njia rahisi ya kufika Daraja la Kigamboni

Vitamin K

Senior Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
158
Reaction score
168
Habari za Jumapili wana JF

Zikiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018.

Leo nimeona nitembelee hiyo sehemu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari, kwani sijawahi kufika tangu hilo daraja likamilike.

Sehemu kama hii ni mojawapo ya recreation place sio vibaya nikiitembelea na kuona ambacho sijawahi kukiona.

Nikianzia safari kutoka Kariakoo nitapanda gari zipi hadi nifike lilipo daraja?

Naomba anayejua magari(daladala) yaendayo huko anielekeze.

Ahsanteni.
 
Habari za Jumapili wana JF

Zikiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018.

Leo nimeona nitembelee hiyo sehemu tajwa hapo juu kwenye kicwa cha habari, kwani sijawahi kufika tangu hilo daraja likamilike.

Hongera kwa utalii wa Ndani
 
Nenda Machinga complex pale karume utakuta gari za kigamboni zinazopita njiaa ya darajani. ..
Au panda gari za mbagara au temeke zinazopita kilwa road shuka jeshi la wokovu pale , ukishuka kwa mbele utaona mataa nenda upande wa kushoto kama unaenda bandarini hivi utakuta stand pia ya kigamboni via Darajani
 
Shukrani sana

Mungu akubariki sana
 
Habari za Jumapili wana JF

Zikiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018.

Leo nimeona nitembelee hiyo sehemu tajwa hapo juu kwenye kicwa cha habari, kwani sijawahi kufika tangu hilo daraja likamilike.

Sehemu kama hii ni mojawapo ya recreation place sio vibaya nikiitembelea na kuona ambacho sijawahi kukiona.

Nikianzia safari kutoka Kariakoo nitapanda gari zipi hadi nifike lilipo daraja?

Naomba anayejua magari(daladala) yaendayo huko anielekeze.

Ahsanteni.
Nenda Karume/Mchikichini utakuta magari yameandikwa M/COMPLEX KIGAMBONI panda then waambie wakushushie darajani. NAULI NI Tsh 450
 
Fika karume ofisi za TFF panda za kigamboni zipo za kutosha na Leo hakuna kigombania magari nauli 450 unashushiwa kituo cha darajani. Ila ili uliienjoy vizur kwa msingi wa utaliii shukia kituo cha biashara
 
Tangu lini magari ya KIGAMBONI yakawa ya kugombania, hata foleni hakuna ukipanda dakika 10 ushafika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom