Kuingia Period kabla ya muda, Tatizo ni nini? Naomba msaada.

Vitamin K

Senior Member
Dec 2, 2017
158
168
Ndugu yangu ameingia kwenye siku zake(hedhi) maarufu kama Period kabla ya muda.

Kwa mwezi huu mzunguko ulitokea tarehe 6 hadi 10. Lakini leo kaona siku zake tena.

Tangu aanze kupata siku zake hajawahi kutokewa na hali ya kuwahi au kuchelewa kupata hedhi kwenye mzunguko wa siku zake.

Nimejaribu kumuuliza kama anatatizo ambalo linaweza kusababisha hii hali kutokea nimebaini kuwa ana msongo wa mawazo kwa siku kadhaa toka ijumaa ya wiki iliyopita maana yeye ni mwanafunzi wa Chuo.

Pia nimemuuliza kama anahisi maumivu yoyote kwa kutokewa na hii hali, kasema hahisi maumivu yoyote isipokuwa ana bleed kwa mfululizo( kwa kutoka matone matone ya damu ) toka asubuhi saa 3 hadi sasa hivi ninavyoandika huu uzi jioni hii.

Akina mama, Madaktari, Manesi au Wajuvi wote wa haya mambo mliopo humu, hii hali inatokana na tatizo gani hasa? Mbali na sababu niliyoibaini mimi kwa uelewa wangu.

Jee tiba yake ni nini?.

Msaada tumusaidie ndugu yetu kutokana na hii hali.

Ahsanteni!
 
Ana umri gani? Alikuwa anatumia family planning? Menstrual period inatokea hivyo karibu na menopause
Hizi period mie huwa hata nashindwa kuelewa. Kuna siku niliangalia picha za rafiki yangu alovamiwa na majambazi akakatwa katwa na mapanga, duuuh nilibleed hatari. Hata haikuwa tarehe ya period, sijui nini huwa hutokea.
 
Hizi period mie huwa hata nashindwa kuelewa. Kuna siku niliangalia picha za rafiki yangu alovamiwa na majambazi akakatwa katwa na mapanga, duuuh nilibleed hatari. Hata haikuwa tarehe ya period, sijui nini huwa hutokea.
Ili bleed kwa muda gani? Ilibleed mfululizo?
 
Matone ya damu yapoje? Ni kama mabonge ya damu? Na si kweli kwamba hahisi maumivu makali, mtazame kwa makini kama unamuona ana maumivu makali au mbembeleze akwambie ukweli kama anasikia maumivu makali tangu alipoanza kubleed. Kama alianza sas 3 na sasa hivi maumivu hayahisi basi kuna kitu nakifikiria, muulize kwanza maswali haya.

1. Damu inayotoka ni mabonge mabonge ambayo hayafanani na damu ya kawaida, ikiwezekana mwambie mwanamke mwingine yotote atazame hiyo damu.

2. Wakati anaanza period ya leo muda wa saa 3 alikuwa anasikia maumivu makali?
 
Mi na msichana wangu alitakiwa aingie period tarehe 18 mbka leo ajaingiaa, Ata sielewii atakua kashapata mimba au laaahhh
Subiri mpaka kesho, mbali na hapo nunua UPT kwa 1,000 ukampime. UPT akipima awepo na mwanamke mwingine wa kumsimamia kwa makini.

ANGALIZO: SOMA VIZURI MATUMIZI YA UPT KABLA YA KUITUMIA.
 
Back
Top Bottom