Search results

  1. kidi kudi

    Msaada kuhusu MacOS Computer

    Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa...
  2. kidi kudi

    Msaada wa kuipata hii app

    Wasalaam, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza...
  3. kidi kudi

    MSAADA: PC haisomi (haikamati) wireless internet connection

    Wasaalam wanajukwaa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
  4. kidi kudi

    PENDEKEZO: Tuwe na VAR yetu ya kivyetu vyetu

    Kwa muda mrefu vilabu vyetu, wadau na mashabiki wamekuwa wakilia na kulalamikia sana maamuzi yanayoamuliwa na waamuzi wetu kwenye mchezo pendwa wa soka ama kandanda au kabumbu kama linavyofahamika na wengi. Nimekuwa nikijiuliza hili suala la wenzetu hasa wale wa nchi za Ulaya walivyofanikiwa...
  5. kidi kudi

    Honda stepwgn Spada

    Wakuu kwema? Naulizia kwa anaeyajua vzr haya magari anisaidie vitu kama vile: 1. Upatikanaji wa vipuri 2. Matumizi ya mafuta 3. Uimara wake N.K Kuna ofa nimeipata nataka nijilipue na hii family car naona itanifaa. Natanguliza shukrani kwenu
  6. kidi kudi

    Msaada: Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2

    Wakuu salama humu, Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2. Nimetumia njia ya kubonyeza button ya power na volume up ila majibu nnayoyapata nimekwamia hapo hapo ndo maana nimelileta hapa kwa msaada zaidi. Naombeni msaada mbadala ili niweze kuiformat simu hii kwa kuwa njia...
  7. kidi kudi

    Tatizo nini hapa?

    Wakuu habari zenu. Naomba niende kwenye lengo mahususi bila kupoteza muda. Ninapata changamoto kwenye simu yangu tangu niiwekee memory card majuzi juzi baada ya storage yake mama kuzidiwa. Nimehamisha nyimbo mp3 zote zilizokuwa kwenye memory ya simu na kuzipeleka kwenye memory card niliyoweka...
  8. kidi kudi

    Umepanga vipi kubadilisha na kugusa maisha ya mtu kwa mwaka 2019?

    Nianze kwa kumshukuru Mungu kuweza kutupa uhai na pumzi yake hata kuiona siku ya leo tukiwa tumebakiza takribani saa chache kuingia 2019. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Binafsi kwa mwaka huu unaoelekea ukingoni nimefanikiwa angalau kwa kiasi chake kuweza kugusa maisha ya watu kadhaaa. Kwa...
  9. kidi kudi

    Kuna application ya kufanya kazi hii?

    Wasalaam, Naomba kupata msaada wa kupata apk au namna yoyote ya kutafsiri kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya kiingereza na kukitafsiri kwa lugha ya kiswahili? Mwenye kujua namna ya kufanya huo mchakato nitashukuru akatugawia na sisi huo ujuzi,asanteni
  10. kidi kudi

    Nautafuta wimbo wa 'Katika Njia ya Injili'

    Katika nyimbo zinazonibariki ni pamoja na huu ambao nimeutafuta sana bila mafanikio. Kwa yeyote atakaeweza kufanikisha kuupata na kuuweka hapa nitamshukuru sana. Itapendeza kama ukipatikana video yake pia. Natanguliza shukrani
  11. kidi kudi

    Ufafanuzi wa hili jambo, mimi limenishangaza kidogo.

    Wasalaa wanajamvi. Naomba nijielekeze kwenye mada moja kwa moja. Nina rafiki yangu hivi karibuni miezi michache imepita aliniambia anafikiri ana tatizo la kifua baada ya kukohoa kohozi lenye damu. Ukweli niliogopa kwani nilihisi haraka haraka atakua na TB hivyo nikamshauri akachek hospitali...
  12. kidi kudi

    Gharama ya studio ya kusafisha picha

    Salam kwenu wakuu, Kuna jamaa yangu anataka kufungua photo studio. Frame tayari anayo kinachohitajika ni mashine ya kusafisha picha za passport, picha kubwa saizi kuanzia 4*6 na kuendelea, desktop computer ipo 1 na Camera cannon nayo ipo 1. Naamini hapa ntapata ushauri zaidi kuanzia gharama...
  13. kidi kudi

    Nini suluhisho la smartphone kujiwasha data??

    wadau salaam, nina simu hapa ni Huawei Y300 imepatwa na hilo tukio la kujiwasha data hata pale ninapoi disable. Naombeni suluhisho kwani chaji imekua ni tatizo sasa. Asanteni
  14. kidi kudi

    Kwa wanaoifahamu Shule ya Sekondari Uparo

    Heshima kwenu wadau, naomba kujua kwa yeyote anaeifahamu shule hiyo ya Sec Uparo anipe wasifu wake kidogo, ipo sehemu gani, je ipo karibu na kisenta chochote au ni ndani ndani, mandhari yake yapoje, nk. Ntashukuru nikipata taarifa hizo.. Nb. Niliambiwa ipo Halmashauri ya Moshi vijijini
  15. kidi kudi

    MSAADA:simu yangu inaninyima raha

    Wadau naamini mpo wazima, nahitaji msaada wenu kwa tatizo la simu yangu huawei y300 ambayo nilii-root. Baada yya rooting imekuwa na Tabia ya kuinstall uc mini bila ridhaa yangu na kila nikipitia folders za kwenye simu yangu sioni lenye hyo app. Kwenye setting nimeruhusu blocking installation...
  16. kidi kudi

    Msaada kuhusu Cloud storage

    habarini za muda huu wadau.. Nina shida nimekumbana nayo kuhusu upatikanaji Wa files mbalimbali nilizozihifadhi katika cloud storage. Kila nikiingia kwenye email yangu kuangalia nilichokiifadhi i e mafaili...siyaoni kabisa. Naombeni msaada Wa jinsi ya kuyapata
  17. kidi kudi

    Wapi nitapata Gym nzuri jijini Mwanza?

    salamu nyingi kwenu wadau, kama mada inavyojitambulisha ningependa kupewa taarifa ya 1. gym nzuri hapa Mwanza 2. gharama zao 3. muda wa kupata huduma Natanguliza shukrani kwa wooote watakaohusika hapa kwenye hii mada. La zaidi niwatakie Heri ya Mwaka mpya.
  18. kidi kudi

    Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

    Nchi zilizo msitari wa mbele katika Ukombozi Kusini mwa Afrika zimetendewa mambo mengi maovu na Utawala dhalimu wa Makaburu... Hata hivyo halikupata kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali...
  19. kidi kudi

    jinsi ya kuweka subtitles katika movie

    Wadau nimedownload movies nyingi kwa kutumia simu, sasa ninahitaji zicheze na subtitles na embe ni MWenye kujua atiririke kwa faida ya wengi. Na tu mia MX Player na kifaa nachoshushia ni simu. Na kwa nyongeza nilishawahi kudownload hizo subtitles ila ziko katika zip format
  20. kidi kudi

    Riwaya: muuaji aliyebakia

    riwaya: MUUAJI ALIYEBAKIA Mtunzi: RAYMOND MWALONGO Sehemu ya 1 Ilikuwa Ijumaa ya tarehe kumi mwezi Desemba ambayo hali yake ya hewa ilikuwa tulivu kabisa. Nyakati hizo za asubuhi mambo hayakuwa shwari katika nyumba ya mzee Kibudo ambayo watu kadhaa walikuwapo nje wakilia...
Back
Top Bottom