Nautafuta wimbo wa 'Katika Njia ya Injili'

Nautafuta wimbo wa 'Katika Njia ya Injili'

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,759
Reaction score
2,484
Katika nyimbo zinazonibariki ni pamoja na huu ambao nimeutafuta sana bila mafanikio. Kwa yeyote atakaeweza kufanikisha kuupata na kuuweka hapa nitamshukuru sana.
Itapendeza kama ukipatikana video yake pia.

Natanguliza shukrani
 
naupenda!

ninatembeaaa tena ninakaza mwendo ili nifikieee Yerusalem mpyaa ninasikiaa sauti yaita njoo ........nakumbka ht Lutheran wameimba
 
Hata mimi sijajua hasa umeimbwa na akina nani. Ila nafikiri ni wa kkkt ndo nasikia wanauimba sana kwenye makanisa yao
 
Hivi hii kwaya sio ile ya kimara korogwe kkkt?
naupenda!

ninatembeaaa tena ninakaza mwendo ili nifikieee Yerusalem mpyaa ninasikiaa sauti yaita njoo ........nakumbka ht Lutheran wameimba
 
Back
Top Bottom