Msaada: Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,213
2,000
Wakuu salama humu,

Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2.
Nimetumia njia ya kubonyeza button ya power na volume up ila majibu nnayoyapata nimekwamia hapo hapo ndo maana nimelileta hapa kwa msaada zaidi.

Naombeni msaada mbadala ili niweze kuiformat simu hii kwa kuwa njia hiyo ya awali nilioitaja imefeli.
PHOTO_20200713_085445.jpeg
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,327
2,000
Factory reset hapo haikusaidii,,hiyo ni frp

Nenda google search how to remove frp on tecno pop 2

Ungekua upo smart basi ni kesi ya dk 0 kwa crack ya miracle
 
david steve

JF-Expert Member
May 17, 2015
857
1,000
Hapo ilipoleta no command bonyeza button zote mbili volume up na volume down kwa pamoja itakuletea hyo recovery menu.
Note:kama email huijui,hyo simu baada ya ku restore itawaka na FRP lock
 
kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,213
2,000
Hapo ilipoleta no command bonyeza button zote mbili volume up na volume down kwa pamoja itakuletea hyo recovery menu.
Note:kama email huijui,hyo simu baada ya ku restore itawaka na FRP lock
Nimebonyeza lkn hakuna jipya lilitokea
 
david steve

JF-Expert Member
May 17, 2015
857
1,000
kidi kudi mara nyingi simu hizi kuanzia android ya 7 ukirestore kwa kutumia button ikifika hapo no command inakua inasumbua ila jarbu kudeal na hizo button za kuongeza na kupunguza kama nilvokwambia hapo juu bonyeza zote kwa pamoja yaan ile paap sio uzi hold bonyeza achia itakubali tuu mkuu
 
kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,213
2,000
Factory reset hapo haikusaidii,,hiyo ni frp

Nenda google search how to remove frp on tecno pop 2

Ungekua upo smart basi ni kesi ya dk 0 kwa crack ya miracle
Nimeingia gugo na kupata maelezo lakin katika hayo maelezo kuna kipengele kwenye hii simu yangu hakionekani, nimefeli hapohapo,,

Naomba nirlekeze kwa njia hiyo ya miracle kama itakupendeza
 
Daah ishakuwa mtihani kwangu, nimejaribu mara zooote bado hakuna mabadiliko
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,327
2,000
Nimeingia gugo na kupata maelezo lakin katika hayo maelezo kuna kipengele kwenye hii simu yangu hakionekani, nimefeli hapohapo,,

Naomba nirlekeze kwa njia hiyo ya miracle kama itakupendeza
Hebu sema hiko kipengele gan usichokiona kwako
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,246
2,000
Factory reset hapo haikusaidii,,hiyo ni frp

Nenda google search how to remove frp on tecno pop 2

Ungekua upo smart basi ni kesi ya dk 0 kwa crack ya miracle
Miracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.

Mleta uzi ikifikia hapo kwenye No Command, bonyeza button ya Volume + kisha Poower halafu button ya Volume - halafu bonyeza kwa pamoja button ya power na volume up (bonyeza siyo ushikilie)

Ikikukataa rudia kinyume chake, halafu bonyeza button ya power volume up. Ikikataa bonyeza button ya power na volume down.

Ikikubali kwa version ya Pop 2 nafikiri chini kabisa utaona "More" ingia kwenye "More" na wipe data kwa huko.

Ikimaliza itakudai FRP.

Ambayo utaitoa ndani ya dk 10 kuna uzi nilianzisha wa kutoa FRP. Utafute
 
Ngoja niifanyie kazi
 
Aisee hii njia yako imekubali shukrani
 
kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,213
2,000
Hapo ilipoleta no command bonyeza button zote mbili volume up na volume down kwa pamoja itakuletea hyo recovery menu.
Note:kama email huijui,hyo simu baada ya ku restore itawaka na FRP lock
Aisee nimerudi tena nilikuwa bize na majukumu mengine.
Baada ya kureset inanipa ujumbe huu ' your phone was reset to factory settings. To use this phone,enter your previous password.'
Msaada tena hapo
 
kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,213
2,000
Miracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.

Mleta uzi ikifikia hapo kwenye No Command, bonyeza button ya Volume + kisha Poower halafu button ya Volume - halafu bonyeza kwa pamoja button ya power na volume up (bonyeza siyo ushikilie)

Ikikukataa rudia kinyume chake, halafu bonyeza button ya power volume up. Ikikataa bonyeza button ya power na volume down.

Ikikubali kwa version ya Pop 2 nafikiri chini kabisa utaona "More" ingia kwenye "More" na wipe data kwa huko.

Ikimaliza itakudai FRP.

Ambayo utaitoa ndani ya dk 10 kuna uzi nilianzisha wa kutoa FRP. Utafute
Nimekwama jamaangu. Inanipa ujumbe huu 'Your phone was reset to factory settings.To use this phone, enter your previous password. ' hapo nimekwama
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,246
2,000
Nimekwama jamaangu. Inanipa ujumbe huu 'Your phone was reset to factory settings.To use this phone, enter your previous password. ' hapo nimekwama
Ikikupa hiyo option lazima chini paandikwe use my google account instead.

Una email iliyokua kwenye hiyo simu?

Kama unaweza nijibu faster coz naweza toka online
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom