kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,759
- 2,484
Wadau nimedownload movies nyingi kwa kutumia simu, sasa ninahitaji zicheze na subtitles na embe ni MWenye kujua atiririke kwa faida ya wengi.
Na tu mia MX Player na kifaa nachoshushia ni simu. Na kwa nyongeza nilishawahi kudownload hizo subtitles ila ziko katika zip format
Na tu mia MX Player na kifaa nachoshushia ni simu. Na kwa nyongeza nilishawahi kudownload hizo subtitles ila ziko katika zip format