Search results

  1. R

    Social Media ni source ya habari kama zilivyo Print na TV Media. Watanzania acheni kubeza

    Ni Tanzania pekee ambapo mtu ataquestion au kudoubt habari ambayo source yake ni Social Media. Wana journalism wanaelewa kabisa kuwa kwasasa dunia ina Media 3 tu: Print Media, Radio & TV Media na Social Media. Ni Tanzania pekee ambapo Kiongozi wa Umma anabeza Social Media ili hali anakiu ya...
  2. R

    Yupi bora: Anayetuma Card kwa mpinzani wake au anayetuma Usalama wa Taifa?

    Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe: Leo kidogo nitweke. Nimeshuhudia kwa macho yangu watu wenye muonekano wa Polisi/Usalama wa Taifa waliovaa kiraia lakini mikononi wameshika Radio Calls kama vile wakielekezwa na Customer Care wa mtandao wa Simu kuwa sogeeni mbele kidogo...okay, mbele kidogo...
  3. R

    Vibanda 3 alivyong'amua Petro mbele ya Yesu: Magufuli watch out.

    Nawaombeni watanzania tupitishe sheria ya kupiga Risasi wahujumu ujumi kama kina Lugumi n.k. Miaka 50 nje ya ukoloni wa Mwingereza lakini bado kuna Watanzania wenzetu wenye dhamana hawathubuti kufanya mapinduzi ya mfumo wa ukandamizaji!..sio kwamba hawaipendi Tanzania, tatizo ni mfumo wa...
  4. R

    Je, naweza kwenda Mahakamani kutengua kura niliyompigia Rais?

    Naomba kufahamishwa kama kuna sheria inayoniruhusu kutengua au kufuta Kura niliyompigia Rais wa Nchi. Asanteni
  5. R

    Naomba kufahamishwa Priorities za Rais wangu. Haiwezekani roho 35 zipotee na asihudhurie

    Uchama pembeni, Siasa pembeni. This is a State issue. Kama anaumwa ilibidi aletwe hata kwa Machela. Laiti ningemuona kwenye kuaga Roho 35, hakika ningemuunga mkono na kuamini kuwa madhaifu yanayosemwa dhidi yake anachostahili ni kusaidiwa na kuungws mkono, maana ukosoaji hausaidii. Magufuli...
  6. R

    Naomba link ya wimbo wa Muvini Muvinii

    Mwenye link ya Muvini Muvinii anisaidie wandugu.
  7. R

    Naomba kufahamu walipo Dancers waliocheza kwenye "Lugha Gongana" ya Noorah

    Vijana wale waliokuwa hot kwenye lile song...wa miaka ile mtanielewa. Naomba kufahamu walipo niwatafute nifanye nao project.
  8. R

    Jeshi la zima moto lichunguzwe: Wako busy kuuza mitungi maofini, moto ukitokea gari hazina maji

    » Soko limeteketea Shinyanga huku wakilitizama kwasababu wamekuja eneo la tukio na Gari isiyo na maji. » Gari imeteketea Muhumbili wakaja kulitazama tu na Gari isiyo na maji » Wako busy kuuza Fire Extinguishers kwa lazima kwenye maofisi ya watu na kushonesha Unform kila kukicha lakini Moto...
  9. R

    Kusema ukweli, hadi leo sijui ni kivipi Ndege inapaa wakati mimi nikinyoosha mikono na kujaribu...

    Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v. Hellcopter...iweje mm nikijaribu siwezi?? Nimeshawahi hadi kujivisha Puppets za propeller na kukimbia umbali mrefu...
  10. R

    According to Instagram, hii ndio tofauti ya BongoMuvi na BongoFleva

    Wasanii wa BongoMuvi wako Mbugani na Mahotelini wakila Pasaka, wakati wasanii wa BongoFleva wako Mikoani wanapiga Kazi. Sasa hapo unategemea tutanunua Filamu kweli? Wamebakiza kumtumia tu Mkuu wa Mkoa awasaidie utadhani mayatima badala ya kuweka starehe na show-offs pembenj na kupiga kazi..Shame
  11. R

    Baba wa taifa kupata Mabusu mubashara, hili limekaaje?

    Baba wa Taifa akipigwa mabusu mubashara na mabinti wawili
  12. R

    Kwanini Konyagi ndogo na Valeaur zimeadimika?

    Ni wiki ya 2 sasa Wauzaji wa jumla, Riquor stores na mabaa hayana Konyagi ndogo na ile Valeur ya chupa. Au ndio na zenyewe mmezipiga ban? Maana walipofungia viroba, hizi chupa ndogo ndogo ndio likawa kimbilio na ndio nikajua kumbe watu wana hela! coz sasa mbona walikuwa wanakunywa viroba! But...
  13. R

    Nimefuta data zote za Kampuni kwenye Server yao kwa bahati mbaya, je kesho niende kazini?

    Chanzo ni kujifanya mjuaji kwenye shughuli flani inayohusu Data centre ya Kampuni mwisho wa siku Data zote zikawa erased according to the IT Expert aliyeitwa na akadai it's unrecoverable despite formatting all Computers this evening. Je kesho niende kazini au niresign juu kwa juu?
  14. R

    Video: RC Makonda aimbwa tena.

  15. R

    Nataka kwenda Ubalozi wa Marekani kuomba Hifadhi ya Ukimbizi, naombeni Muongozo.

    wakuu, Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
  16. R

    Nitapata wapi Scooter hapa Dar? nataka kununua kwaajili ya Usafiri maeneo ya lami.

    Habari zenu Wadau? Kwa wajanja mtakuwa mnajua kile chombo kinaitwa Scooter, yaani nasimama tu juu na kushika usukani na kina matairi mawili madogo sana. Kwa hapa Dar vinauzwa wapi? na ni Tsh ngapi? Je, kinatumia mafuta? uendeshaji wake ukoje? Speed je? Asanteni sana wadau.
  17. R

    Naombeni mbinu za jinsi ya kudeal na mpenzi anayenizidi pesa

    Ni mtoto wa kishua, tupo nae kitaa, tofauti yetu ni kwamba yeye yupo mjengoni na mimi nipo bandani. Kila kukikucha tulikuwa tukisalimiana asubuhi mwisho wa siku nikajiongeza nikatupa ndoano ikanasa. Changamoto imeanza kuonekana baada ya kudumu kwenye penzi kwa takribani mwezi 1 imekuwa wazi...
  18. R

    Godoro na Mapazia 3 ya kifahari vinauzwa.

    Habari wakuu, Nimepata majanga inabidi niuze vifuatavyo, vyote vipo Dar: Pazia 3 za kifahari, pamoja na fimbo zake za madirishani ambazo kila moja ina urembo/ringi zake. Vyote kwa pamoja utanipa elfu 80 (bei ni fixed). Mimi nilinunua elfu 35 kwa pazia 1, na elfu 15 kwa kila fimbo. Godoro la...
Back
Top Bottom