Je, naweza kwenda Mahakamani kutengua kura niliyompigia Rais?

Akishatangazwa na Tume ya Uchaguzi hakuna kubadilisha tena inabudi usubiri muda wake uishe ili ufanye uchaguzi mwingine.
 
Naomba kufahamishwa kama kuna sheria inayoniruhusu kutengua au kufuta Kura niliyompigia Rais wa Nchi. Asanteni
Vipi mkuu umekutwa na cheti feki nini??

Mlitucheka tuliposema huyu hafai..sasa unaisoma digitali heheeee
tapatalk_1487762099561.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwahiyo ukirudisha hio kura moja ndo ataacha kuwa Rais.
Pambana kijana, chuki yako haitajenga ,huwezi kubadili chochote ndani ya miaka hii mi3...

Ukiwa na majukumu mawazo ya ajabu ajabu kama hayo hayatakujia
 
Raisi wa nchi ipi? Somalia, zanzibar, zimbabwe, ufaransa ama south korea. Teh . . . Teh
 
Sasa hivi ndio unatambua uraisi siyo kupiga push-ups majukwaani?

Watu wenye maono mafupi ndio mnaoigharimu hii nchi.
 
kwahiyo ukirudisha hio kura moja ndo ataacha kuwa Rais.
Pambana kijana, chuki yako haitajenga ,huwezi kubadili chochote ndani ya miaka hii mi3...

Ukiwa na majukumu mawazo ya ajabu ajabu kama hayo hayatakujia
Tatizo haujamuelewa muuliza swwali, hajasema anataka kura yake ibadili matokeo ya urais, bali kauliza kama kuna sheria inayoruhusu mtu kwenda mahakamani kubadilisha kura aliyopiga, inaweza kuwa alipiga ya kumkataa raisi sasa anataka iwe ya kumkubali, and vice versa. ni swali nzuri la kufikirisha kisheria, ila ukiliangalia kwa ushabiki wa vyama huwezi kumuelewa
 
Naomba kufahamishwa kama kuna sheria inayoniruhusu kutengua au kufuta Kura niliyompigia Rais wa Nchi. Asanteni
Dah............ahsante kwa kuniongezea muda wa kuishi. Kwa baridi hili nilikuwa sijacheka siku nzima. Ubarikiwe Mkuu
 
Tatizo haujamuelewa muuliza swwali, hajasema anataka kura yake ibadili matokeo ya urais, bali kauliza kama kuna sheria inayoruhusu mtu kwenda mahakamani kubadilisha kura aliyopiga, inaweza kuwa alipiga ya kumkataa raisi sasa anataka iwe ya kumkubali, and vice versa. ni swali nzuri la kufikirisha kisheria, ila ukiliangalia kwa ushabiki wa vyama huwezi kumuelewa
Kiukweli sasa hivi JF imeingiliwa na kina Kisandu wengi sana hivi kweli mtu anakaa na kuja JF kuweka uzi kama huu na sisi tunachukua muda hata kuujadili???????
 
Back
Top Bottom