Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Ni wiki ya 2 sasa Wauzaji wa jumla, Riquor stores na mabaa hayana Konyagi ndogo na ile Valeur ya chupa. Au ndio na zenyewe mmezipiga ban? Maana walipofungia viroba, hizi chupa ndogo ndogo ndio likawa kimbilio na ndio nikajua kumbe watu wana hela! coz sasa mbona walikuwa wanakunywa viroba! But anyway, swali ni kwamba kwa nini ziadimike hasa Konyagi ndogo?
Au ni mkakati ili wapenzi wa bidhaa yenu tuhamie kwenya MAJIBAPA? Sasa tutafanyeje kazi kama tutaanza kupiga majibapa? Acheni ujinga.
Au ni mkakati ili wapenzi wa bidhaa yenu tuhamie kwenya MAJIBAPA? Sasa tutafanyeje kazi kama tutaanza kupiga majibapa? Acheni ujinga.