Naombeni mbinu za jinsi ya kudeal na mpenzi anayenizidi pesa


R

Riziki Mohammed

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Messages
121
Likes
194
Points
60
R

Riziki Mohammed

Senior Member
Joined Mar 4, 2017
121 194 60
Ni mtoto wa kishua, tupo nae kitaa, tofauti yetu ni kwamba yeye yupo mjengoni na mimi nipo bandani. Kila kukikucha tulikuwa tukisalimiana asubuhi mwisho wa siku nikajiongeza nikatupa ndoano ikanasa. Changamoto imeanza kuonekana baada ya kudumu kwenye penzi kwa takribani mwezi 1 imekuwa wazi kwamba siwezi kuhimili mitoko.

Mtoto anahamu ya kuzaa, sasa sina hela ya kumpeleka Lodge kila wiki kumshikisha mimba (na of course hii ndo chambo pekee ninayotegemea ya kumuweka ndani), otherwise maneno matupu naona mwisho wa siku yatanikosesha riziki.

Mara mojamoja anasimamia shoo lakini naona inamkwaza sana hasa pale ninapoonekana waziwazi kuwa sijimudu. NIFANYEJE?

[HASHTAG]#FactsOnly[/HASHTAG]
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
26,587
Likes
59,147
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
26,587 59,147 280
Kikawaida sisi wanaume kwa mwanamke tunayempenda na kumwelewa saana hatumfichi maisha yetu lazima ayajue.


Nyie ni majirani atakuwa anakujua vizuri kama anakupenda na ni mwelew atakuelewa. Ila Onyesha unahangaika. Hustle kutafuta pesa na uwe unamjulisha kila hatua.
 
Borderlandz

Borderlandz

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
551
Likes
715
Points
180
Age
32
Borderlandz

Borderlandz

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
551 715 180
Uionyeshe kama unaitaka pesa yake weka misimamo yako japo huna pesa wanawake wanatekwa mioyo na wanaume jasiri wenye misimamo, ila kama ukitaka hela ya jeanz unamwambia, ya kula unamwambia, ya lodge unasubiri akuite yeye, utakuwa MWANA FA ft VANNESA
 
Mr.laravel

Mr.laravel

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
444
Likes
370
Points
80
Mr.laravel

Mr.laravel

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
444 370 80
Mkuu kwa hiyo akitaka mimba na wewe unampa kwa sababu anataka ?
Umejiuliza hela ya kumlea mtoto itatoka wapi kama hela tu ya lodge inakosekana au wakwe ndio watasimamia shoo ?
Kama una mipango mizuri na endelevu waweza endelea ila nina mashaka kidogo.
 
umukagame

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
948
Likes
429
Points
80
Age
28
umukagame

umukagame

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2014
948 429 80
Kikawaida sisi wanaume kwa mwanamke tunayempenda na kumwelewa saana hatumfichi maisha yetu lazima ayajue.


Nyie ni majirani atakuwa anakujua vizuri kama anakupenda na ni mwelew atakuelewa. Ila Onyesha unahangaika. Hustle kutafuta pesa na uwe unamjulisha kila hatua.
Ni kati ya mitihani inayotusumbua wadada "kumpenda mwanaume asiye na pesa "
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,210
Likes
25,035
Points
280
Age
28
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,210 25,035 280
Ukiwa mkweli utakuwa mwanaume unaeweza kuimudu kuwa na familia ila ikiishi maisha ya kuigiza utakuwa unajipa mzigo ambao huwezi kuubeba hapo mwambie ukweli kuwa mi nahitaji uwe mke sasa tukisipendi sana tutashindwa kujenga misingi ya familia asipo kuelewa jua sio wako
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
20,874
Likes
30,843
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
20,874 30,843 280
Kakope black au benk kama mill.1, alafu uanze makeke yko. Ukishampa mimba unamwambia nina mkopo then anakusaidia kulipa kazi imeisha hapoo.
Huna mapenzi ya kweli ww
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
11,818
Likes
22,563
Points
280
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
11,818 22,563 280
Jiamini blaza....

Jikite katika kuzitafuta...unaweza usipate sawa na yeye au zakumzidi but atleast you can do a little kama Ni muelewa ikawaWorth ful

Jiamini, acha kushindana ishi maisha yako halisi
 

Forum statistics

Threads 1,213,995
Members 462,478
Posts 28,497,979