Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Habari zenu Wadau?
Kwa wajanja mtakuwa mnajua kile chombo kinaitwa Scooter, yaani nasimama tu juu na kushika usukani na kina matairi mawili madogo sana. Kwa hapa Dar vinauzwa wapi? na ni Tsh ngapi? Je, kinatumia mafuta? uendeshaji wake ukoje? Speed je?
Asanteni sana wadau.