Godoro na Mapazia 3 ya kifahari vinauzwa.

Riziki Mohammed

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
118
Reaction score
205
Habari wakuu,

Nimepata majanga inabidi niuze vifuatavyo, vyote vipo Dar:
  • Pazia 3 za kifahari, pamoja na fimbo zake za madirishani ambazo kila moja ina urembo/ringi zake. Vyote kwa pamoja utanipa elfu 80 (bei ni fixed). Mimi nilinunua elfu 35 kwa pazia 1, na elfu 15 kwa kila fimbo.
  • Godoro la Tanform Premium kwa laki na elfu 80, (bei ni fixed). Ni la 5x6, lenye Spring. Nilinunua laki 3. Bado jipya kabisa maana limetumika 3 months.
Nimeambatanisha picha. Kama uko serious PIGA SIMU.

0769605220
IMG_20170304_102244.jpg
IMG_20170304_102302.jpg
IMG_20170304_103507.jpg
IMG_20170304_103521.jpg
IMG_20170304_102818.jpg
IMG_20170304_103020.jpg
 
OK zimekuja
Hilo godoro siyo comfy kweli maana yanazingua Sana hayo, ila Kama ni tanform tutaongea biashara...
Vinapatikana Wapi....!?
Nadhani nimeeleza hapo: Godoro ni Tanform ain ya Premium. Kama uko serious piga simu.
 
Habari wakuu,

Nimepata majanga inabidi niuze vifuatavyo, vyote vipo Dar:
  • Pazia 3 za kifahari, pamoja na fimbo zake za madirishani ambazo kila moja ina urembo/ringi zake. Vyote kwa pamoja utanipa elfu 80 (bei ni fixed). Mimi nilinunua elfu 35 kwa pazia 1, na elfu 15 kwa kila fimbo.
  • Godoro la Tanform Premium kwa laki na elfu 80, (bei ni fixed). Ni la 5x6, lenye Spring. Nilinunua laki 3. Bado jipya kabisa maana limetumika 3 months.
Nimeambatanisha picha. Kama uko serious PIGA SIMU.

0769605220

Mkuu:
Sasa wewe unauza godoro utalalia nini au unahama?
 
Dah lingekua 6×6 ningekuja sasa HIV maana nipo hp hp
 
OK zimekuja
Hilo godoro siyo comfy kweli maana yanazingua Sana hayo, ila Kama ni tanform tutaongea biashara...
Vinapatikana Wapi....!?
Yaani unabisha bila kuliona.
Watanzania tuna shida sana.
 
Hiyo aina ya godoro [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Back
Top Bottom