Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Baba wa Taifa akipigwa mabusu mubashara na mabinti wawili
Kitu cha kawaida sana!Sasa cha ajabu kipi?
Hiyo ni Picha ya Mwalimu na Wajukuu zake, Andrew aje atufafanulie!
Mwalimu nae alikuwa Binadamu anapenda na kupendwa na Watu mbalimbali Ndio sababu hata Pilsner Bareeed ilikuwa inapanda baada ya kazi nzito za kujenga Taifa!
Nilikuwa napenda sana Kaunda na Safari Suit za Mwalimu maana zilikuwa simple na zenye kumtosha sio kuvaa Ma Nguo ya over size Kama zimeshonwa na Wanafunzi wa VETA wanaojifunza stage one
Kabisa Mkuu. Hao ni mademu zake (wajukuu), huoni mabinti walivyo rilaksiKitu cha kawaida sana!Sasa cha ajabu kipi?
Ukipata wajukuu ndio utaelewa utachezewa mpaka ndevu kama uko kwa mchepuko vile
Kwajinsi ninavyojua heshima ya huyu MZEE. Ni upendo tu,labda wajukuu, wananchi wake walipomwona Mara ya kwanza...
Ndio changamoto za kuzaliwa "uswahilini" hizi..
Mke hata akiwa wako ukimkiss hadharani unaonekana hauna maadili..
Mtoto wako ukimkiss pia hauna maadili..