Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe:
Leo kidogo nitweke. Nimeshuhudia kwa macho yangu watu wenye muonekano wa Polisi/Usalama wa Taifa waliovaa kiraia lakini mikononi wameshika Radio Calls kama vile wakielekezwa na Customer Care wa mtandao wa Simu kuwa sogeeni mbele kidogo...okay, mbele kidogo.
Nilichofanya ghafla ni kuzima simu yangu halafu nikazunguka mtaa wa pili na kuiwasha kisha kuingia Play Store na kudownload VPN kama tano hivi halafu nikaziwasha zote.
Nikawasiliana na bosi kazini kwamba naumwa naomba nirudi nyumbani...
Kikawaida, mimi hatari ikiwaga inanisogelea huwa mwili haukubali...halafu jicho halitapepesa macho, yaani mfano adui ndio wewe, nitakuangalia mfululizo bila hata hiari yangu.
Serikali iache kubinya wakosoaji wake kimya kimya.