Nataka kwenda Ubalozi wa Marekani kuomba Hifadhi ya Ukimbizi, naombeni Muongozo.

Riziki Mohammed

Senior Member
Mar 4, 2017
118
205
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
 
USA baby

upload_2017-4-10_23-34-38.jpeg
 
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
Mimi sijui kuhusu USA labda ukifikiria kuhusu syria&Libya unistue nikupe taratibu
 
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
KISA? Huwezi kupata HIFADHIMarekani maana kando ya Trump Tanzania haiko classified kama nchi ILIYO na MIGOGORO ama MATATIZO ya Kisiasa. Kando ya watu fulani kueneza propaganda za kuichafua nchi yao.

Hata hivyo unaweza kuomba uhifadhi hata Congo inatosha.Ukiona hutosheki omba hifadhi nchi ya KUSINI mwa SUDANI.

Ukifanikiwa kurudi SALAMA hutaacha kuimba wimbo huu siku zote "Tanzania Tanzania NAKUPENDA kwa MOYO wote....Nilalapo nakuwaza wewe....."
Nakutakia mafanikio.
 
Kwanini usiende Saudia au Iran hapo mitaa ya Upanga Mkuu? Trump kaweka masharti magumu sana kwa taarifa yako.

Sifa ya mkimbizi ni kukimbia nenda mbio hadi geti la kuingia ubalozini huku ukipiga makelele yalah nakufa uingie mpaka ndani tayari utakuwa na sifa ya kuitwa mkimbizi hakuna kitu kingine, mkimbizi haihitaji maandalizi ukijiandaaa wewe siyo mkimbizi
 
Hebu nijibu kwanza hili, Kwa nni unataka kukimbilia mbali huko USA? ? Kwa nini usiende Kenya, Rwanda au Zambia? ?
 
Hahahahahahahahaha Soon Tanganyika tunaweza kujikuta ndo nchi ya kwaza Duniani kutoa wakimbizi wa ugumu wa maisha wakati ndani ya nchi kuna amani na utulivu

Kikujibu kifupi kuna aina tatu za kuomba hifadhi
1 Ukimbizi
2 asylum seeker
3 protected person

Duniani inatoa hifadhi ya ukimbizi ikiwa nchi unayotoka inamatatizo ya

1Vita
2Machafuko

Kwa Tanganyika vigezo hvyo hakuna nchi yeyote duniani itakayokubali kutoa hifadhi ya ukimbizi kwa Mtanganyika kwa sababu hakuna hata kimoja kati ya vigezo vya kuwa mkimbizi rabda kama wanaweza kukubali wakimbizi wa ugumu wa maisha

Asylum seeker .......

A protected person ... unachoweza kupata ni hiki kwa ww raia wa kawaida
 
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.

Kila Ubalozi una dawati la Mapokezi anzia hapo!
 
Kuna watu bado nawaamini sana Tanzania yetu nchi haiwez haribika na wao wakishudia
1.mbowe
2.kikwete
3.sumaye
4.nape
5.makamba (Mzee)
6. Mbitia
7.mkinga
8.bashe
9.lema
10.zitto
Hawa watu wako vizur sana kulinda maslah ya nch na watz hawatakubali Mtu mmoja alete upuuzi wa kishamba Tanzania
 
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.

Kama ni mwanamme, vaa mini skirt au bikini....kisha nenda ubalozini na uwaambie kuwa wewew ni mpenzi wa kushika kuta za watu na kwa hapa Tanzania maisha yako yako hatarini kwa sababu serikali ahiruhusu watu kushikishwa ukuta.
 
Mind of thinking, sijapata picha halisi ya mtoa mada, kama unataka kwenda USA kwa kigezo cha umekwama, nakushauri kama nia kuhamia kule basi fanya jitihada za kuomba urai wa kawaida tu nadhan utapata tu lakini kwa kigezo cha ukimbizi kama unatokea Tanzania hauna sifa
 
wakuu,

Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao kuomba msaada.
UBALOZI WA SAUDIA ARABIA NA IRAN WANAPOKEA TENA KWA WEMA KABISA, NI KWENDA MOJAMOJA KWA MOJA PALE UBALOZINI UTAPOKELEWA
 
Back
Top Bottom