Search results

  1. Wazabanga kuku

    Kwanini wanawake wa mjini mnapenda Sana elfu 30 na elfu 50?

    Habarini wakuu Mara tajwa yahusika Kwa wanaume wote wa mjini marijali kama mimi watongozaji na wapenda totoz wazuri mtakubaliana na hili Hapa mjini ukimtongoza demu na kutaka kumbandua au kumgegeda lazima atakutajia gharama ya elfu 30 au 50 Jamani uongooo? Kwa Haya ninayosema?? Demu ukimwambia...
  2. Wazabanga kuku

    Nashukuru sina demu wa kumhonga

    Kwa miezi kadhaa sasa tangu ofisi yangu ipigwe ban na serikali ,nimejikuta naachana kabisa na mademu zangu wote na muda mwingi nawaza kutafuta hela Tu Na hawa mademu nahisi washajishtukia coz nlivyowadekeza Siku za nyuma tofauti na hivi karibuni So wameacha kabisa kunipiga mizinga na wote...
  3. Wazabanga kuku

    Nasubiri kipindupindu

    Wadau habari ya muda huu Yani mwenzenu mida hii ndo nazinduka baada ya kulewa chakari mida ya asubuhi Tangu Jana nipo ghetto na demu wangu sasa nlichokifanya Leo ndo sijui hatma yangu Ni kwamba nlikua najifanya bingwa wa kwenda chumvini sasa katika kulamba lamba nahic nkalamba kinyeo cha demu...
  4. Wazabanga kuku

    Waalimu watatu wa Arts watokea kwenye ajira mpya za waalimu wa sayansi

    Kichwa cha habari chahusika Serikali imetoa ajira Kwa walimu wa sayansi But katika orodha hiyo yapo majina ya walimu watatu wa masomo ya arts Na wote wamepangwa Bukoba municipal na wote wamepangwa shule moja Sasa serikali ina semaje kuhusiana na hili la waalimu hawa wa arts kupewa ajira na...
  5. Wazabanga kuku

    Faru Fausta

    Habari wakuu Jamani Kwa anaejua faida anayoingiza Faru Fausta Kwa nchi anijuze Naskia Faru huyu Kwa mwezi anatumia milioni 64 Banda lake lilijengwa Kwa milioni 43 Faru Fausta ni Mzee wa miaka 55 Lakini hadi umri huu Hana mtoto Naomba kujuzwa faida anayotupatia huyu Faru hadi agharamiwe kiasi hiki.
  6. Wazabanga kuku

    Bar nyingi zipo empty

    Wakuu Heri ya Pasaka Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra Nipo...
  7. Wazabanga kuku

    Ni sahihi kugharamia vocha then anachat/kuwasiliana na wengine?

    Naje wakuu Naona mnafaidi Tu vyuku mipilau roast peke yenu hata mualiko hakuna! Heading yahusika Kuna rafiki angu kaja kuniuliza juu ya kisa hiki Alikua na demu lakini baada ya muda yule demu kaanza nyodo kwa mshikaji akapunguza mawasiliano Jamaa anamwona Tu demu online lakini hata salamu...
  8. Wazabanga kuku

    Umri sahihi wa mtoto wa kike kupata mume/mtoto

    Heri ya pasaka wakuu Naomba tujuzane hili kuhusu umri sahihi Kwa mtoto wa kike kupata mume/mtoto Manake Siku hizi nashangaa kumwona binti hadi anagonga miaka 30 bado anaendekeza bhata,kutoa toa mimba Binti hana mbele wala nyuma ukimuuliza maisha haya hadi lini anakwambia nakula maisha Kwanza...
  9. Wazabanga kuku

    Hivi ni lazima kuhonga!??

    Naje wakuu Jamani kuna Jambo najiuliza Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko? Unakuta mwanaume anajisifia kabisa kwamba bingwa wa kuhonga wakati wazazi wake wanashindia uji na maembe huko kijijini Kitabu gani kitakatifu kimeandika lazima wanaume tuwape...
  10. Wazabanga kuku

    Huyu ananipenda kweli au napoteza muda Tu!?

    Habari ya jumaa kuu wana Jamvi Jamani mwenzenu nimepatikana kwa binti mmoja Kiumri ni mdogo miaka Huyu binti bhana simwelewi kila ninapozungumza nae Mambo ya ukweli kuhusu mahusiano yetu anaharakia kusemwa nimwache nitafute mwingine Na kauli zake hizi zinatokana na tabia yake ya promise fake...
  11. Wazabanga kuku

    Nakereka na hawa wanaotangaza ajira na kutaka experience miaka kadhaa

    Wakuu kuna Jambo linanikera Sana halafu naona hadi kwenye idara za serikali limeanza Nakumbuka wakati wa kampeni mgombea Pombe Magufuli alisema hili suala la kutangaza kazi then kuhitaji watu wenye experience miaka 5 10 2 1 na kuendelea atalikomesha But imekua tofauti kila idara taasisi...
  12. Wazabanga kuku

    Serikali haijatufanyia Fair wanywa viroba

    Maisha ya Tz ni stress tupu Na tangu awamu hii ya 5 iingie madarakani stress ndo zimezidi Watu tukipunguza stress kwa kutupia Pombe za kwenye viroba ambazo tukizinunua kwa bei chee kuanzia 400-1000 ukiwa na buku 2 Yako unajitupia unasahau stress za utawala wa Magu Sasa kitendo cha serikali...
  13. Wazabanga kuku

    Hataki mapenzi kisa alishika mimba 2

    Habari wana Jf Kuna rafiki angu ana demu wake mwenye miaka 25. Hivi majuzi jamaa kaja kuniomba ushauri. Mwaka jana alimpa mimba huyo binti na ilitokana na uzembe wa binti mwenyewe kutojua kalenda yake ya period. Mungu awasamehe wakafanya abortion Baada ya muda demu akaanza visa na kumwaga...
  14. Wazabanga kuku

    Utawala wa awamu ya 5 umeniachisha mademu zangu

    Habarini wana Jamvi Kama mnavyojua tangu utawala wa awamu hii uingie madarakani umebana Sana hela na madili hakuna Hali hii imepelekea nikose hela za kuhonga hivyo kuachana na mademu zangu Kama mnavyojua mademu wa kibongo wanapenda sana pesa kama huna unaitwa mwanaume suruali Kutokana na...
  15. Wazabanga kuku

    Msaada: Kiashirio kwamba godoro limeisha muda wake

    Wadau habari ya ijumaa Jamani siku hizi kuna magodoro ya aina mbalimbali Naomba mnitajie kitu kimojawapo kinachoashiria godoro unalotumia limeisha muda wake hivyo kununua lingine Asanteni
  16. Wazabanga kuku

    Kupotea kwa bikra za Nyuma

    Dunia imebadilika sana hasa kwenye suala la mapenzi Nimefanya utafiti mdogo kupitia Fb kwa muda mrefu nimegundua wasichana wengi siku hizi wamepoteza bikra zote mbele na nyuma Hata wavulana wengi sana wamekua mashoga siku hizi Nina account yangu fake Fb nasumbuliwa sana na mashoga tena wengi ni...
  17. Wazabanga kuku

    Floor na fremu nyingi zakosa wapangaji Mwanza

    Hii ni kuashiria hali ya uchumi ni mbaya au imekaaje kaaje hii Ukipita maeneo kadhaa ya hapa mwanza town center mitaa ya Darajani utakuta matangazo ya kupangisha fremu za maduka miezi inakatika no wapangaji Maeneo ya Liberty nayo floor kibao zipo empty miezi inakatika no wapangaji Ofisi ya...
  18. Wazabanga kuku

    Msaada: Radio na Frequency zake zinazorusha matangazo ya Bunge live

    Kichwa cha habari chahusika Wadau naomba mnitajie radio zinazorusha matangazo ya Bunge live na Frequency zake nipo huku Kolomije ila baadae ntarudi mwanza town Nisaidieni! Asanteni sana
  19. Wazabanga kuku

    Watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndio maana nchi yetu haiendelei

    Aslaamhaleykhum wana JF, Nimegundua watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndo maana nchi yetu maendeleo hakuna na yaliyopo tunayapata kwa mwendo wa Kobe. Kwenye mitandao mingi ya kijamii watanzania tunaongoza kwa post za mapenzi na ngono ngono. Kijana anahangaika mchana kutwa kutafuta hela...
  20. Wazabanga kuku

    Nina muda mrefu sijaona matarumbeta ya ndoa/harusi

    Kichwa cha habari chahusika Nipo jijini mwanza hapa jamanii tangu mwaka huu uanze sijaona kabisa mbwembwe mtaani za watu kufunga harusi ikiambatana na mbwembwe za matarumbeta Hii ni kuashiria utawala huu wa Magu watu hawaoni wanabebana kimya kimya Au inaashiria Hali ngumu ya kifedha watu...
Back
Top Bottom