Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 379
Hii ni kuashiria hali ya uchumi ni mbaya au imekaaje kaaje hii
Ukipita maeneo kadhaa ya hapa mwanza town center mitaa ya Darajani utakuta matangazo ya kupangisha fremu za maduka miezi inakatika no wapangaji
Maeneo ya Liberty nayo floor kibao zipo empty miezi inakatika no wapangaji
Ofisi ya CCM Nyamagana nayo ina tangazo ofisi na floor zinapangishwa miezi sasa inakatika no wapangaji
Jengo la PPF PLAZA Kenyatta wameweka bango ofisi zinapangishwa
Jengo la Rock city mall nalo halina wapangaji hadi wameamua kushusha kodi ya pango
Hii hali mnaionaje wataalamu wa uchumi ,floor na fremu za mjini kati kukosa wapangaji kwa muda mrefu!??