Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Heri ya pasaka wakuu
Naomba tujuzane hili kuhusu umri sahihi Kwa mtoto wa kike kupata mume/mtoto
Manake Siku hizi nashangaa kumwona binti hadi anagonga miaka 30 bado anaendekeza bhata,kutoa toa mimba
Binti hana mbele wala nyuma ukimuuliza maisha haya hadi lini anakwambia nakula maisha Kwanza
Akishachoka anaanza kutafuta mume akikosa anaanza kusema kalogwa
Ataanza kutafuta mwanaume azae nae kinguvu ,akikosa mimba Kwa sababu ya kuharibu kizazi enzi za ujana wake baada ya kufanya abortion za kutosha anazidi kusema karogwa pia
Mdada unahisi ni lini wakati muafaka Kwa wewe kupata mume na kujenga familia ?
Badala ya kuendekeza bata na mwisho kuhisi umerogwa baada ya kukosa vyote