Faru Fausta

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Habari wakuu
Jamani Kwa anaejua faida anayoingiza Faru Fausta Kwa nchi anijuze
Naskia Faru huyu Kwa mwezi anatumia milioni 64
Banda lake lilijengwa Kwa milioni 43
Faru Fausta ni Mzee wa miaka 55
Lakini hadi umri huu Hana mtoto
Naomba kujuzwa faida anayotupatia huyu Faru hadi agharamiwe kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom