Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wakuu Heri ya Pasaka
Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni
Hali ikoje huko kwenu!!???