Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habari wana Jf
Kuna rafiki angu ana demu wake mwenye miaka 25. Hivi majuzi jamaa kaja kuniomba ushauri. Mwaka jana alimpa mimba huyo binti na ilitokana na uzembe wa binti mwenyewe kutojua kalenda yake ya period. Mungu awasamehe wakafanya abortion
Baada ya muda demu akaanza visa na kumwaga mshikaji. Jamaa akapotezea wakasahauliana. But mwaka huu demu karudi tena kwa jamaa kuomba msamaha na kwa kuwa jamaa hakumkosea kitu chochote Yule binti akamsamehe mapenzi yakarudi tena. Last month demu kapata mimba nyingine akaitoa jamaa yangu akapewa taarifa hakua na jinsi akatulia
Alijitahidi kuonesha mapenzi kwa Yule demu kwa kumsaidia vitu mbalimbali
Lakini ghafla akaanza kupunguza mawasiliano na jamaa akawa anamtafuta akiwa na shida. Sasa jana jamaa akamuuliza Yule demu vipi mbona siku hizi hunichangamkii hata mawasiliano ni nadra
Demu akasema ameamua akae hivi hivi mara anaona anaharibikiwa sasa hajui baadae atamlaumu msela au huyo bwana atakayemuoa sababu mshikaji ana mchumba wake na huyo demu anadai ana mchumba wake yupo depo JKT. Hivyo hataki tena mapenzi
Kiukweli jamaa ana mshangaa huyo manzi kwa maamuzi yake kana kwamba alimpa mimba kilazima wakati ni uzembe wa demu mwenyewe kutojua siku zake
Je jamaa amwache kabisa huyu demu au aongee nae vizuri ili mapenzi yaendelee!??