Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habari ya jumaa kuu wana Jamvi
Jamani mwenzenu nimepatikana kwa binti mmoja
Kiumri ni mdogo miaka
Huyu binti bhana simwelewi kila ninapozungumza nae Mambo ya ukweli kuhusu mahusiano yetu anaharakia kusemwa nimwache nitafute mwingine
Na kauli zake hizi zinatokana na tabia yake ya promise fake za mara kwa mara anazonifanyia
Kupiga simu au kutuma msg kwangu ni kazi nisipoanza mm basi ndo imetoka
Nkimwelimisha juu ya suala hili la ufinyu wa mawasiliano anaharakia kusema kama sifurahii mawasiliano yake nimwache nitafute ninaeona atawasiliana na mm vzr
Binti huyu tuliachana tukarudiana tena lakini daily mi ndo namtafuta
Tunaweza kuchat vzr muda mwingi Tu lakini ghafla ananibadilikia na kusema Hana mood mara nimwache
Kuna wakati ananiambia ananipenda nisiwe na wasiwasi nae
Lakini naandika uzi huu tayari keshaniambia nimtafute ntakaeona ananipa nitakacho na hii baada ya kumwambia ukweli aache promise fake zake Leo ilibidi aje ghetto nkajiandaa mwisho wa siku kazingua
Namwambia ukweli anasema nimtafute mwingine.
Natamani kumwacha lakini nkikumbuka utamu wake nabaki njia panda.