Nakereka na hawa wanaotangaza ajira na kutaka experience miaka kadhaa

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wakuu kuna Jambo linanikera Sana halafu naona hadi kwenye idara za serikali limeanza
Nakumbuka wakati wa kampeni mgombea Pombe Magufuli alisema hili suala la kutangaza kazi then kuhitaji watu wenye experience miaka 5 10 2 1 na kuendelea atalikomesha
But imekua tofauti kila idara taasisi wanataka watu wenye experience
Sasa kijana katoka chuo hiyo experience anaitoa wapi
Hapa wanaopata kazi ni wazee sasa vijana wanaaChwa hii si sawa hata kidogo
Halafu lingine suala la umri mfano tanapa wametangaza kazi wanataka wenye umri mwisho miaka 25 sasa je wale waliotumia hela zao kusoma na huo umri umepita hawana Haki ya kuajiriwa na kulitumikia Taifa Lao?
PCCB nao wametangaza kazi wanataka umri mwisho miaka 25 hii sio Haki
Serikali iingilie Kati suala hili wapige marufuku Mambo ya kutaka experience kijana aajiriwe experience ataipata kazini huko huko mbele ya safari au apewe training miezi kadhaa
Waajiri mnaboa na miexperience yenu.
Msione mna uhuru Sana wa kutaka experience....BUT NOT TO THAT EXTENT!!
 
Experience muhimu sana sio lazima uwe kwenye ajira ila hata xperience ya volunteer au intern au unadhani utamaliza chuo uitiwe kazi ukiwa kitandani, soma maswali ambayo ni common ya interview ndio utajua experience ni muhimu
 
Kuna sehemu niliambiwa uzoefu ni Miaka 60 nikaguna MH ! Huwezi amini walimchukua mbabu mmoja wa Zamani sana
 
hilo tangazo la PCCB limenishangaza pia, wanataka mpaka vyeti vya standard vii
asa mtu kafikaje chuo bila kupitia elimu ya msingi?
 
Back
Top Bottom