Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wana Jamvi
Kama mnavyojua tangu utawala wa awamu hii uingie madarakani umebana Sana hela na madili hakuna
Hali hii imepelekea nikose hela za kuhonga hivyo kuachana na mademu zangu
Kama mnavyojua mademu wa kibongo wanapenda sana pesa kama huna unaitwa mwanaume suruali
Kutokana na serikali kubana hela sasa zinazopatikana ni zile za matumizi binafsi na si kuhonga tena
Najua mtakubaliana na Mimi watu wengi washapigana chini kutokana na Hali ngumu ya pesa
Watu wameshindwa kuwapangishia nyumba nzima wapenzi/michepuko yao
Siku hizi outing na mitoko imepungua Sana
Kwa Hali hii hata nguvu za kiume zitapungua coz mtu utakua unawaza namna ya kupata hela hamu ya sex kwisha
Inaniuma Sana .