Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Kichwa cha habari chahusika
Wadau naomba mnitajie radio zinazorusha matangazo ya Bunge live na Frequency zake nipo huku Kolomije ila baadae ntarudi mwanza town
Nisaidieni!
Asanteni sana