Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Naje wakuu
Naona mnafaidi Tu vyuku mipilau roast peke yenu hata mualiko hakuna!
Heading yahusika
Kuna rafiki angu kaja kuniuliza juu ya kisa hiki
Alikua na demu lakini baada ya muda yule demu kaanza nyodo kwa mshikaji akapunguza mawasiliano
Jamaa anamwona Tu demu online lakini hata salamu hakuna ,jamaa kajitahidi kumtumia text but demu hajibu
Msela kaamua kutulia
Jana demu kakurupuka Tu na kumtext msela "Mambo? Naomba kifurushi cha halotel cha mwezi"
Jamaa hakujibu
Demu katuma sms nyingine "Mbona hujibu au msg hujaiona"
Ikabidi msela amwambie "Waombe vocha unaochat nao daily"
Demu kajibu " Heeeee wee nijibu kama unanipa au hutaki"
Msela kajibu "Sitaki"
Demu katoa msonyoo kwenye msg na kumalizia "Haya"
Je msela kakosea au mnaonaje hapa wakuu.??