Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Naje wakuu
Jamani kuna Jambo najiuliza
Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko?
Unakuta mwanaume anajisifia kabisa kwamba bingwa wa kuhonga wakati wazazi wake wanashindia uji na maembe huko kijijini
Kitabu gani kitakatifu kimeandika lazima wanaume tuwape pesa wanawake
Kuna wanawake wengine ni mabingwa wa kuomba omba hela
Ukimwambia Sina anakasirika
Sasa kama wewe mwanamke unataka hela si utafute zako kila mtu abaki na zake
Tuache kuhonga na kuhudumia wanawake tusio na future nao
Hao si wanandugu zao acha wasaidiwe na ndugu zao
Tusipende pende kuhonga kwa michepuko .