Waalimu watatu wa Arts watokea kwenye ajira mpya za waalimu wa sayansi

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
379
Kichwa cha habari chahusika
Serikali imetoa ajira Kwa walimu wa sayansi
But katika orodha hiyo yapo majina ya walimu watatu wa masomo ya arts
Na wote wamepangwa Bukoba municipal na wote wamepangwa shule moja
Sasa serikali ina semaje kuhusiana na hili la waalimu hawa wa arts kupewa ajira na wengine kuachwa mtaani
 
Weka ushahidi hapa. Na kama ni kweli basi hongera zao
ni kweli kabisa hao walimu watatu majina yao yako miongoni mwa walimu wa sayansi na hisabati walio ajiriwa
ajiraaaa.png
angalia hayo masomo niliyo highlight hapo ndio utajua ukitaka kujiua kwa nini wamejumuishwa katika hiyo orodha hapo fuata hii link >>>>>>ajira<<<<<<
 
Mhhh inamaana hawa nao walituma vyeti kwa ajili ya uhakiki na wakahakikiwa then wakapitshwa kama walimu wa sayansi!!!!!!
This is known as seriouslessnessy
 
Nothing is impossible in Bongo land, if you did not send your academic certificates for job application it's up to you, you could have known to live in Bongo and use properly your Bongo kalakabaho!!!
 
ni kweli kabisa hao walimu watatu majina yao yako miongoni mwa walimu wa sayansi na hisabati walio ajiriwa View attachment 497558 angalia hayo masomo niliyo highlight hapo ndio utajua ukitaka kujiua kwa nini wamejumuishwa katika hiyo orodha hapo fuata hii link >>>>>>ajira<<<<<<
hiyo nispecial case kama unakumbuka hiyo shule ilikuwa jumuiya ya wazazi then mh RAIS akaifanya kuwa ya serikali so ilibidi wawapangie ili kucover upungufu kwa masomo hayo
 
hiyo nispecial case kama unakumbuka hiyo shule ilikuwa jumuiya ya wazazi then mh RAIS akaifanya kuwa ya serikali so ilibidi wawapangie ili kucover upungufu kwa masomo hayo
ni kweli mkuu. naona bado watu wanalalamika lakini sababu za serekali kuwajumuuisha kwenye kundi la ajira zimeshatolewa.
 
hiyo nispecial case kama unakumbuka hiyo shule ilikuwa jumuiya ya wazazi then mh RAIS akaifanya kuwa ya serikali so ilibidi wawapangie ili kucover upungufu kwa masomo hayo
Harafu si tuliambiwa walimu wa masomo ya sanaa wamezidi kwa niniwasipunguzwe shule moja wakapelekwa? Au walimu wa masomo ya sanaa pamoja na kuwa wengi wako fixed hawawezi kuhamishwa??

Acha zako mkuu hapo wamebugi!!
 
hiyo nispecial case kama unakumbuka hiyo shule ilikuwa jumuiya ya wazazi then mh RAIS akaifanya kuwa ya serikali so ilibidi wawapangie ili kucover upungufu kwa masomo hayo
kama wamepangiwa, mbona serikali ilisema ina walimu wa ziada 7000+ kwanini wasingepelekwa hao kama kuwahamishia huko na wakaamua kuwapanga hawa????????????
 
Back
Top Bottom