Search results

  1. lukatony

    Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  2. lukatony

    Sanare,miss wetu na Sioi,mkwe wa Lowasa!

    Naomba kujuzwa hawa ni miongoni mwa watakatishaji wa fedha chafu pale Stanbic benk!Je hawajaandika barua kukiri na kurudisha billion 7 zetu.Tafadhali nijuzeni hawa watu wana hela na Mzee Mamvi anazo zaidi ya hizo.Napenda kujua!Mimi nipo Luxembourg, cjui kinachoendelea bongo yetu!
  3. lukatony

    TBC wanashindwa Nini na ZBC?

    Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia Kodi za wananchi Kama mtakavyo.Mjali na mambo mengine Kama matukio ya michezo jamani.Mmeshatuumiza...
  4. lukatony

    Mbolea ya Kinyesi cha Binadamu

    Napenda kujua ni kwa nini kinyesi cha Binadamu hakitumiki kama mbolea?Maana sehemu nyingi ambazo uwa kuna mtitiriko wa kinyesi na kukawa na ulimaji Wa mboga mboga,uwa zinastawi sana.Sasa ni kwa nini kisitumike kama mbolea?
  5. lukatony

    Wataalam wa Computer

    Jamani, naomba msaada, Nina laptop aina ya dell inspiron N5040, nimeamka asubuhi,naiwasha ina display mwanga tu pasipo maandishi. Jana usiku nimeitumia. Sasa kabla ya kuipeleka kwa fundi tatizo laweza kuwa nini?
  6. lukatony

    Ona alichonifanyia huyu dada

    Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwa miaka minne. Ni msomi tu mzuri na mrembo. Amenifanya boya sana baada ya mimi kumpenda. Tukiwa kwenye mahusiano ya kuelekea kufunga ndoa kanidhalilisha sana baada ya kuniacha. Mahali anapofanyia kazi ni mbali na anapoishi, wakati mimi napofanyia kazi c...
  7. lukatony

    Msaada wa ku-screenshot kwa kutumia Samsung Dual-SM-G355H

    Nina kisimu changu Samsung Dual-SM-G355H.Kinanisumbua namna ya kuscreenshot.Cjui kuitumia.Naomba mwenye kufahamu nifanyeje anijuze ili niweze kuscreenshot maana ina uwezo huo lakin pa kubonyeza au kusweep cjui.Msaada tafadhali.
  8. lukatony

    Tundu Lissu ni mgonjwa leo nimeamini

    Tundu Lissu yupo mitaa ya Buzuruga akihutubia jinsi anavyomnanga Mwalimu Nyerere kuhusu Muungano kwa hakika muheshimiwa huyu ana matatizo kichwani.Mathalani anasema kwamba Nyerere alipindisha pindisha sheria na kuibaka Zanzibar na kuifanya kuwa koloni la Tanganyika.
  9. lukatony

    Maisha haya jamani!!!!!!!

    Mheshimiwa Chenge ona wenzako tunavyotaabika ndugu yetu!Tuonee huruma
  10. lukatony

    Kiwanja kinauzwa Bujingwa-Block B,Buswelu,Mza

    Size 15*25,kina mawe tripu kumi na mchanga tripu taut.Hati hakina ila unaweza shughulikia ukaipata maana survey ilishafanywa jiji ila hawajapima eneo husika ispokuwa kama una hela yako unawafuata wanakushughulikia na kukupimia kabisa,bei 5M,mawasiliano 0682078781
  11. lukatony

    Hii gari itanigharimu shilingi ngapi mpaka kuitoa bandarini?

    Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,kwa gari hii aina ya Toyota Harrier,itanigharimu shilingi mpaka kuitoa bandarini na kuwa nayo mkononi?na kwa wataalamu wa magari je gari hii ni si mtumiaji mkubwa wa mafuta?Msaada tafadhari!!!!! Model: TA-ACU15W CC: 2400...
  12. lukatony

    Msaada jamani

    Hii namba ni +81452909485 ya nchi gani?Yapata wiki sasa inanipigia kila mara bila kuongea chochote
  13. lukatony

    Nyumba ya Kupanga Dodoma

    Habari wapenda,natafuta nyumba ya kupanga Dom mjini isiyozid vyumba vitatu,yaweza pia kuwa hata ya viwili but inayojitegemea.Gharama isizid 200000 kwa mwezi
  14. lukatony

    Ninafanye nini nioe?

    Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni. Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine...
  15. lukatony

    Ninafanye nini nioe?

    Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni. Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine...
  16. lukatony

    Toyota Harrier,milion 18

    Wakuu kwa hapa Dar,ni show room gani naweza pata toyota harrier kwa bei isiyozid milioni 18?msaada tafadhali!!!
  17. lukatony

    Msaada please!!!!

    Hivi ununuaji wa gari kupitia SBT utaratibu wake upoje wakuu?maana mh naogopa kulizwa na ninahitaji gari kutoka Japan.Msaada please kwa anayejua!!! Asante!!
  18. lukatony

    Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

    Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna...
  19. lukatony

    Kama mawaziri na waheshimiwa wengine wananunua,basi biashara hii ihalalishwe

    Ni matumaini yangu wapendwa,wengi wetu tumeshuhudia,au sisi wenyewe kwa namombna moja au nyingine tumehusika moja kwa moja na biashara hii ya uchangudoa!!ombi langu ni kwamba biashara hii ihalalishwe!tra watapata kodi,na hata wizi unaofanywa na wahusika wa biashara hii utapungua!!kwani...
  20. lukatony

    Lowassa na siasa za makanisani?

    Ama kweli mbio unazokimbia kuelekea urais hakuna anayekufuata!!!!! Tarehe 13/11/2011 nimeshitushwa kutangaziwa kwamba mheshimiwa Edward Ngoyay Lowassa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya harembee ya kanisa langu parokia ya Nundu-Mwanza. Hakika umejipanga ila watanzania hatukutaki, amini!
Back
Top Bottom